Recent content by michael kempanju

  1. michael kempanju

    CCM mmejisahau Kuwa ninyi ndio chama tawala?

    Kutokana na hali iluvyo kwa chama tawala kimesahau kabisa na kuwa kama walikuwa wapinzani kwa miaka 54 iliyoputa, kampeni chafu wanafanya wao, jukwaani wanawataja CHADEMA mda mrefu baada ya kueleza Sera Zao, wanaanza kuzihubiri Sera za wapinzani na kusahau Zao, Dk. Magufuli asema...
  2. michael kempanju

    GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Lizaboni Nijifunze kuandikà kwani haujaelewa nn hapo. Mara nying mgombea anasema atakijenga chama Eld alisema siku moja tu kuwa atashughulikia kesi ya babu seya
  3. michael kempanju

    GE2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

    Nimemsikia Mara kadhaa ndugu JOHN P MAGUFULI akisema akichaguliwa atakijenga chama kwa kuwafukuza watendaji wazembe, nilichofikilia kumbe mgombea urais anajua kabisa kuwa chama chake kimebomoka na hao waliokibomoa ndio wanaomsaidia katika kampeni swali je atawezaje kumbadilisha/ kusikilizwa na...
  4. michael kempanju

    Magufuli kuwabana vigogo wa CCM

    Hakuna kiongozi wa ccm ambaye ataweza kuwa kuisafisha ccm vigogo asilimia kubwa wanaomsaidia ni mafisadi, siamini kama umesomeshwa kwa gongo ukawa police alafu ukaenda kumfunga aliyekusomesha kisa anauza gongo
  5. michael kempanju

    Magufuli na Kikwete watofautiana kauli

    Ninachofurahi kuwa magufuli anajua kuwa watanzania tunataka mabadiliko ambayo ukawa watayaleta
  6. michael kempanju

    Magufuli na Kikwete watofautiana kauli

    At sm time Kikwete: Nchi yetu imepata mafanikio sana katika uongozi wangu mpaka tumefika hapa. Magufuli : Mafisadi wameharibu nchi yetu na kudumaza maendeleo mpaka tumefika hapa nitawashughulikia.
  7. michael kempanju

    Mh. John Magufuli asababisha Kimbunga uwanja wa Jamhuri Morogoro Mjini

    Hao wengi hawajawai kumuona Diamond
  8. michael kempanju

    Mh. John Magufuli asababisha Kimbunga uwanja wa Jamhuri Morogoro Mjini

    Tamasha lolote diamond akiwepo watu wanajaa
  9. michael kempanju

    Maandamano tarehe 7 Sept, 2015 kuelekea ofisi kuu za CHADEMA

    Ukikuwa utaacha utoto na kutokomaa ki akili kunakusumbua
  10. michael kempanju

    Mvuto wa Kikwete (2005) v/s Ushawishi wa Lowassa (2015)

    Wizara ya watendaji nani anaiandaa, Hatudanganyiki UKAWAAA Magufuli hawezi kuleta mabadiliko kupitia ccm labda aje cdm
  11. michael kempanju

    Mvuto wa Kikwete (2005) v/s Ushawishi wa Lowassa (2015)

    Ndugu Magufuli hata kama msafi hawezi kumfukuza migiro, hawezi kumfukuza change, Hawezi kutuletea katiba yetu waliyoipinga, hawezi kusema nani anadhamini tembo kuwawa, hawezi kutuambia kwa nn mikataba ya dharula, kwa hiyo bora tu ukawa Haina jinsi
  12. michael kempanju

    Special thread: Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA nchi nzima kuelekea 25 Oktoba, 2015

    Amazing HAINA JINSI HATA IWEJE TUSHAAMUA KUKATAA MIKATABA YA DHARULA, ESCROWST, MILIONI KUMI YA MBOGA MABADILIKO LAZIMA
  13. michael kempanju

    Hivi ni kwa nini UKAWA wanaogopa Lowasa Kushiriki midahalo?

    Lowassa anaweza kufanya mdahalo na magufuli labda hao wengine wawatafute saiz yao wafanye nao mdahalo maana wanatafuta kiki waje kusema nimefanya mdahalo na rais
  14. michael kempanju

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Haina jinsi cdm ndo hiyo ikulu inaenda kama unaburuzwa kata kamba uende huko nachojua wezi mia ni rahis kumbadilisha mwema mmoja kuwa mwizi kuliko mwizi mmoja kubadilisha wezi mia
Back
Top Bottom