michael kempanju
Member
- Jul 8, 2015
- 43
- 13
Kutokana na hali iluvyo kwa chama tawala kimesahau kabisa na kuwa kama walikuwa wapinzani kwa miaka 54 iliyoputa, kampeni chafu wanafanya wao, jukwaani wanawataja CHADEMA mda mrefu baada ya kueleza Sera Zao, wanaanza kuzihubiri Sera za wapinzani na kusahau Zao, Dk. Magufuli asema waliotutangulia wameharibu nchi na amesahau kuwa wao ndio walikuwa madarakani, wameanza kusema wataleta mabadiliko wamesahau kuwa wao ndio wanaoiendesha serikali na wananchi wanalalama kila siku matatizo yaleyale.