kimbati kwa juu ni sehemu ya uniform za polisi wa kenya,lakini chini huvaa green kama wa kwetu tanzania.hao ni GSU ni kama FFU Tanzania.
wale wengine huvaa blue ambao ni sawa na wanaovaa khaki huku tanzania.
battery percent IOS iko kitambo,sasa inakwenda kuonekana ndani ya bettry ktk IOS 16 update, tofauti na mwanzo ilikuwa inakaa pembeni,labda useme wameitoa androidi utaeleweka.
hapana sio kweli,Apple wana cable type C inayofahamika kama thunderbolt ina kasi nzuri sana lakini kwa kifaa cha apple...
wewe na mletamada tofauti yenu ni mashati tu.
yeye hajatumia iphone wewe umetumia ukawa mnazi wa iphone.
nani kakwambia hakuna simu tamu android??
utamu unauona kwenye iphone sababu akili yako umeilaza hapo,embu shika simu nyingine ukague kidogo.
yah mimi ni mtz,kwetu amani na utulivu kwanza mengine baadae,hatupendi kuona watu wanauana kisa mwenzao mmoja anakwenda kula mema ya nchi yao akiitwa rais.
taahira na mwendawazimu hana anachohofia maishani hapa.hata aambiwe usikalie tawi kavu unaweza anguka anaanza kucheka cheka tu.
toka...
hii ni sifa ya mtu,kama anayo anapewa.wewe unayo.
hii ndio point ya mleta mada,matokeo ya uchaguzi sio oda ya pombe kali unayoagiza kwamba ikichelewa hakuna shida,sijui hata unajua vihatarishi vya kiusalama wewe,au umesshashiba hapo unasinzia tu.
swala la kuhoji au kutohoji liangaliwe kuliko...
wewe ni mpumbavu bana.
yaani kwako uchaguzi akipotea mpinzani ndio unakuwa wa hovyo!!!
watu wanatahadhalisha mwenendo wa kusita sita kitangaza unaweza kuzua balaa wewe unakuja na hizi pumba zako za kusifia ujinga kisa umetokea kenya!!!
wakitangaza mapema kukawa na utulivu si ndio vyema sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.