iPhone kuonesha asilimia za betri

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,697
Iphone a.k.a Gereza la kifahari inaenda kuwekewa asilimia za betri ziwe zinaonekana, zamani ilikuwa unakadiria.
Thanks.

Android haya mambo yapo kitambo,, halafu hata zile usb cable eti kwa sasa wamegundua hazina nguvu, hazina spidi ya kutransfer mafaili na sio imara kwa hio wataanza kutengeneza iphone zenye matundu ya USB C kama android

Mambo ya gereza la kifahari haya.. Zamani utawasikia "mimi asilimia za chaji za nini ?" leo hii wanasifia, Zamani utasikia "mimi cable yangu sina haraka kwenye kuchaji au kuhamisha mafaili" leo hii wanasifia iphone kutumia cable za Android

FB_IMG_1660427034976.jpg
 
View attachment 2323333

Ukiandika uzi kishabiki uzi unakosa hadi maana, mtu unayefikiri usb type C ni za Android napata hata ukakasi wa ujuzi kuhusu mambo ya technology
 
Iphone a.k.a Gereza la kifahari inaenda kuwekewa asilimia za betri ziwe zinaonekana, zamani ilikuwa unakadiria.
Thanks.

Android haya mambo yapo kitambo,, halafu hata zile usb cable eti kwa sasa wamegundua hazina nguvu, hazina spidi ya kutransfer mafaili na sio imara kwa hio wataanza kutengeneza iphone zenye matundu ya USB C kama android

Mambo ya gereza la kifahari haya.. Zamani utawasikia "mimi asilimia za chaji za nini ?" leo hii wanasifia, Zamani utasikia "mimi cable yangu sina haraka kwenye kuchaji au kuhamisha mafaili" leo hii wanasifia iphone kutumia cable za Android

View attachment 2323333
Hujawai kutumia iphone mkuu inaonesha kabisa ubungo waku hauna unachokijua kuhusu teknolojia mzee asilimia kwenye iphone zpo tangu iphone 4
 
Iphone a.k.a Gereza la kifahari inaenda kuwekewa asilimia za betri ziwe zinaonekana, zamani ilikuwa unakadiria.
Thanks.

Android haya mambo yapo kitambo,, halafu hata zile usb cable eti kwa sasa wamegundua hazina nguvu, hazina spidi ya kutransfer mafaili na sio imara kwa hio wataanza kutengeneza iphone zenye matundu ya USB C kama android

Mambo ya gereza la kifahari haya.. Zamani utawasikia "mimi asilimia za chaji za nini ?" leo hii wanasifia, Zamani utasikia "mimi cable yangu sina haraka kwenye kuchaji au kuhamisha mafaili" leo hii wanasifia iphone kutumia cable za Android

View attachment 2323333
Miaka yangu yote nilotumia iphones zinaonesha asilimia za betry, na ofcoz iphone ndo simu pekee ambayo ukiitumia ni tam, iOS has better interface than android
Nafikili maana ya apo ni tofauti na ulivyodhani
 
Wengi hayo masimu wanatumia tu kufuata mkumbo, ukimuuliza why unatumia sim ya iphone, hajui zaid ya maosheo na kupiga picha.

Android iheshimike
 
Miaka yangu yote nilotumia iphones zinaonesha asilimia za betry, na ofcoz iphone ndo simu pekee ambayo ukiitumia ni tam, iOS has better interface than android
Nafikili maana ya apo ni tofauti na ulivyodhani
wewe na mletamada tofauti yenu ni mashati tu.

yeye hajatumia iphone wewe umetumia ukawa mnazi wa iphone.
nani kakwambia hakuna simu tamu android??

utamu unauona kwenye iphone sababu akili yako umeilaza hapo,embu shika simu nyingine ukague kidogo.
 
Iphone a.k.a Gereza la kifahari inaenda kuwekewa asilimia za betri ziwe zinaonekana, zamani ilikuwa unakadiria.
Thanks.
battery percent IOS iko kitambo,sasa inakwenda kuonekana ndani ya bettry ktk IOS 16 update, tofauti na mwanzo ilikuwa inakaa pembeni,labda useme wameitoa androidi utaeleweka.
Android haya mambo yapo kitambo,,

halafu hata zile usb cable eti kwa sasa wamegundua hazina nguvu
, hazina spidi ya kutransfer mafaili na sio imara
hapana sio kweli,Apple wana cable type C inayofahamika kama thunderbolt ina kasi nzuri sana lakini kwa kifaa cha apple kwa apple,hii type C sio mahususi kwa kuhamisha data inarenda kucharge zaidi,kilichofanyika ni maagizo kutooa jumuia ya ulaya ili kupunguza matumizi ya taka ngumu duniani,kuwa na kifaa kimoja ikiwezekana kinachoweza kufanya kazi nyingi,hivyo wameagizwa aaachane na macable lukuki ila iwepo moja inayoweza kucharge simu zote,na kufanya kazi katka kifaa kingine.
kwa hio wataanza kutengeneza iphone zenye matundu ya USB C kama android

Mambo ya gereza la kifahari haya.. Zamani utawasikia "mimi asilimia za chaji za nini ?" leo hii wanasifia, Zamani utasikia "mimi cable yangu sina haraka kwenye kuchaji au kuhamisha mafaili" leo hii wanasifia iphone kutumia cable za Android
mpaka sasa wanazi hawajasema kitu maama wengi,hata hawaelewi hivi vitu.wengi utasikia tu iphone tamu,hata hajui huo utamu kuuelezea.
 
Back
Top Bottom