Recent content by micca90

  1. micca90

    JamiiForums Tanzania Kulikoni leo huduma za Simbanking na ATM za CRDB hazifanyi kazi tangu asubuhi?

    Huduma zao mbovu kabisa hazifai
  2. micca90

    JamiiForums Tanzania Kulikoni leo huduma za Simbanking na ATM za CRDB hazifanyi kazi tangu asubuhi?

    Binafsi nimekosea kutuma hela mpaka sasa sina uhakika kama itarudi ama hairudi mana sio simu tu kuwa pigia hadi sms nimewatumia kwennye mitandao yao ya kijamii lakini ni zaidi ya masaa 2 yamepita sijajibiwa [emoji35][emoji35]
  3. micca90

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada kwa aliefanikiw kujisajili betika na kudepost Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  4. micca90

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Vipi link taipataje
  5. micca90

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Sikuizi kwenye hili jukwaa hakuna konachojadiliwa lipo tu kama jinsi lilivyoo
  6. micca90

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Binafc sikutarajia Kama itakuwa kwa sekund tu mchezo kuisha uyu jamaa alieingia na 619 inawexekana aka mcharange resna
  7. micca90

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Jumapili atapigana kweli mana kwa kichapo alichopew hatar sana au mi sijaelew Big dog alichezewa mchezo gani mpaka kugongwa na gari
  8. micca90

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    asante
  9. micca90

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    hiki kifurushi tunakipataje na sie mzee baba tupe mautundu
  10. micca90

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Mpaka sasa show iliyonivutia ni ya tagteam ya akina miz uyu mzee yupo vzr Sent using Jamii Forums mobile app
  11. micca90

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Asante kwa kunijuza Sent using Jamii Forums mobile app
  12. micca90

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Naomba kujua mda was kuanza kwa westermania tomorrow Sent using Jamii Forums mobile app
  13. micca90

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Jana sijaelewa smack down inakuaje mkanda wa wwe championship uliwekwa kwenye dasbin na daniel Sent using Jamii Forums mobile app
  14. micca90

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Shukran mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. micca90

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Kesho Royal rumble inaanza saa ngapi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom