Recent content by miagie

  1. miagie

    JamiiForums Tanzania Naomba kujibiwa maswali haya kuhusu safari ya Dar es Salaam to Botswana

    hao watoto bana. nauli sh ngap...?
  2. miagie

    JamiiForums Tanzania Cafe Inauzwa

    Naomba nikopeshe pamoja na fremu, ntakulipa biashara ikiwa nzuri.
  3. miagie

    JamiiForums Tanzania Biashara ya used Tv Set na Frige

    Unatangulia Dodoma mkuu...???
  4. miagie

    JamiiForums Tanzania Wahaya sio vizuri Mungu anawaona.....

    Rwegashora anatubia Wireless from Dubai Bwana...
  5. miagie

    JamiiForums Tanzania Makonda wote akili zao ni sawa?

    MKUU NINA UHAKIKA UNAZUNGUMZIA MAKONDA WA DAR
  6. miagie

    JamiiForums Tanzania Tufahamiane/Tujuane/tutambuane wana JamiiForums

    Nimekutambua the way unavyoandika utakuwa kijana wa Lumumba
  7. miagie

    JamiiForums Tanzania Kumekucha tena: Mgogoro Tanzania na Malawi waibuka upya

    NASUBIRI HILI: 1 October, ni Siku Kitaifa kuelekea lake nyasa kusuluisha mzozo huu ni marufuku kuwa na mkusanyiko popote.
  8. miagie

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Maadhimisho ya miaka 52 ya JWTZ kwa kufanya usafi

    HAPA UBALOZINI WANAPIGA USAFI WA MWENDOKASI :)
  9. miagie

    JamiiForums Tanzania Nina m8 nahitaji gari.

    Mkuu ushauri ni mzuri sana unaponunua gari usiangalie namba kwanza kuna factors nyingi za kuconsider, Angalia Mileage, Physical appearance ya gari, engine fanya testing usikilize engine... ukiwa na mil 9 au 10 unapata Vitz au Raum kutoka Japan
  10. miagie

    JamiiForums Tanzania Msanii Snura afungiwa kujihusisha na sanaa, TCRA waagizwa kuifuta video ya Chura mtandaoni

    Naomba mwenye kideo ya vyura anitumie whatsapp....
  11. miagie

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Vibaka wamezidi usiku maeneo ya barabara ya Mlimani City

    SASA UNA 5000 MLIMANI CITY UNAKUJA KUFANYA NINI?
  12. miagie

    JamiiForums Tanzania Man Pacquiao ndani ya kanzu

    Kama hujui kitu ni bora unyamaze brother, kanzu ni vazi la Kiarabu na alivaa alipoenda Qatar mwaka jana, Huyu jamaa ni mkristo safi sana na kumwacha Yesu ni ngumu, kama ilivyo jina lake "EMMANUEL"... MFUATILIE ZAIDI HAPA OFFICIAL PAGE YAKE: Manny Pacquiao
  13. miagie

    JamiiForums Tanzania Unaweza kupiga kura ya urais popote pale hata kama sipo ulipojiandikisha?

    Wakuu vp hii inawezekana? Nimejiandikisha dar ila nipo dodoma, Sitaki kuacha kuchinja...
  14. miagie

    JamiiForums Tanzania Unaweza kupiga kura ya urais popote pale hata kama sipo ulipojiandikisha?

    Wakuu vp hii inawezekana? Nimejiandikisha dar ila nipo dodoma, Sitaki kuacha kuchinja...
Back
Top Bottom