Recent content by Miaghay

  1. Miaghay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Mzee Odinga Kaamua: Kwa hizi Evidence Ruto Atapona kweli?

    Ushahidi kabambe huu hapa[emoji116] https://us.docworkspace.com/d/sIOKDtNM20_-SmAY
  2. Miaghay

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala hili la mfanyakazi TRC anatafuta umaarufu

    Hiyo katiba wanaandika bavicha peke yao?, Tumia akili,, Mkitaka katiba mnayotaka nyinyi mjitahidi muwe na majority bungeni na uraiani, vinginevyo mtalalama sana mitandaoni miaka nenda rudi, PURE FACT
  3. Miaghay

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala hili la mfanyakazi TRC anatafuta umaarufu

    Labda mahakama ya ubeligiji,, yaani hapo ndo imetoka hivyo,, ikirudi pancha
  4. Miaghay

    JamiiForums Tanzania Kenya wanatudharau sana haijawahi kutokea, wadai watanzania walio wengi akili hamna!

    Wana akili vipi wakati uchaguzi umepigwa wanaangalia tu https://us.docworkspace.com/d/sIOKDtNM20_-SmAY
  5. Miaghay

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

    Yeah, namkumbuka sana RSO mzee mayala alivyojitahidi kuwasave wale jamaa, kipindi hicho mimi nilikua DSO wa sengerema
  6. Miaghay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kumchuna miaka 3, nimekula dili na mama amkatae siku ya kumtambulisha

    Ha ha ha, matola bana.. kumbe bado upo anga hizi? Anyway sexless ni me huyo, sema andiko lake linaelezea uhalisia kwa yanayotokea katika jamii[emoji2375]
  7. Miaghay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kumchuna miaka 3, nimekula dili na mama amkatae siku ya kumtambulisha

    Baadae magazetini tusome, amuua mpenzi wake kwa ugomvi wa mapenzi,,,
  8. Miaghay

    JamiiForums Tanzania Masada wa jina la ugonjwa na dawa yake

    Candida sugu hii[emoji848]
  9. Miaghay

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

    Traffic case hiyo,, no big deal,,,
  10. Miaghay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

    Kura zilizoharibika zipo, ila ajabu kwenye hesabu hazionekani[emoji23]
  11. Miaghay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

    Mahakama ikisema matokeo ni batili, kinachofuata na kurudiwa uchaguzi
  12. Miaghay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wakenya mnajidhalilisha kwa kuhoji 0.01%

    Straight to the point... And please let's have meaningful discussion around it, sio matusi tu. Let's be objective towards it. Voter Turnout. 1. Chebukati confirm that the voter turnout in 2022 elections were 65.4%. 2. That Chebutaki confirmed that some places in Makueni + Kakamega had manual...
  13. Miaghay

    JamiiForums Tanzania TANESCO yaahirisha zoezi la uzimaji wa mfumo wa mitambo ya LUKU kwa siku 4

    Vishikwambi vinatumia umeme
  14. Miaghay

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Tundu Lissu kuandaliwa kuiondoa CCM 2025 madarakani?

Back
Top Bottom