Recent content by Mia tisa itapendeza

  1. Mia tisa itapendeza

    Wimbo wa Taifa

    Enjoy!
  2. Mia tisa itapendeza

    Ma-doctor naombeni ushauri korodani yangu ambayo niliifanyia operesheni 2010 imevimba tena...tatizo ni nini?.

    Ma-daktari na waelevu mliojaa humu JF naomba mnisaidie coz nina tatizo, mnamo mwaka 2010 niliwahi kufanya operesheni ya korodani yangu ya upande wa kushoto baada ya kugundua kuwa imeanza kuvimba . Nilikwenda hospitali nikafanya checkup wakagundua kuwa imeanza kujaa maji hivyo madaktari...
  3. Mia tisa itapendeza

    Kwanini nyie wana JF mnatudharau sana wanaume wa Dar?

    Wataelewa tu! watu wanaishi mbwinde huko wanalala na mifugo then wanatuletea jeuri hapa Jf
  4. Mia tisa itapendeza

    Kwanini nyie wana JF mnatudharau sana wanaume wa Dar?

    Tumekuwa nyoro nyoro kwa lipi hasa?, sisi wa dar ndio kiboko ya dada zenu.
  5. Mia tisa itapendeza

    Mke wangu amewasha kibatari chumbani kwetu siku ya tano leo hajazima masaa 24

    Ndugu zangu habari zenu, Nimeshangazwa na tabia iliyoanzishwa na mke wangu kuwasha kibatari kwa masaa 24 bila kuzima na huku nyumba tunayoishi inatumia nishati ya umeme. Mpaka leo naandika kwenu ndugu zangu ni siku ya tano kinawaka tu, mimoshi kibao chumbani nikimuuliza mke wangu ni kwanini...
  6. Mia tisa itapendeza

    Jana kwa mara ya kwanza nimempiga makofi mke wangu ila roho inaniuma

    Ndugu zangu wa JF, Kwanza niwapongeze kwa ushauri mnaoendelea kunipa kila ninapoingia humu nakushare nanyi yale yanayonisibu katika ndoa yangu, baada ya maneno maneno ya dharau kila siku toka kwa mke wangu na kutoniheshimu, jana nilijikuta namtandika vibao vitatu vitakatifu kabisa. Lakini cha...
  7. Mia tisa itapendeza

    Kwanini nyie wana JF mnatudharau sana wanaume wa Dar?

    Sisi wanaume wa dar ndio mpango mzima, kwanza mapenzi tunayaweza ndio maana dada zenu wa huko misugusugu wanatuzimia kinoma.
  8. Mia tisa itapendeza

    Kwanini nyie wana JF mnatudharau sana wanaume wa Dar?

    Tumekuwa nyoro nyoro vipi, mbona wanatoa machozi vitandani...acheni hizo nyie
  9. Mia tisa itapendeza

    Kwanini nyie wana JF mnatudharau sana wanaume wa Dar?

    Kumekuwa na kasumba humu ukileta jambo lako ili usaidiwe kimawazo basi wataanza kukunanga na kukuletea maneno ya jeuri eti oooh!Nyie wanaume wa Dar ndivyo mulivyo! Ina maana sisi wanaume tunaoishi Dar mnatudharau kwa lipi haswa kubwa? Kwani matatizo ya kimapenzi huwapata watu wa Dar tu? Nyie...
  10. Mia tisa itapendeza

    Baada ya kufika BASATA na kuambiwa hawamtambui kama msanii, Giggy Money amwaga chozi na kusema hakuna uhuru tena!

    Kuna huyu mwingine anaitwa Amba Lulu ni bingwa wa kukaa uchi serikali mmulikeni na huyu pia tumechoka kuangalia mapaja.
  11. Mia tisa itapendeza

    Baada ya mke wangu kunipiga mara kwa mara rafiki zangu wamenishauri nioe mke wa pili ataacha kunipiga.

    Habari zenu wana jf natumai tupo pamoja kama ada yetu! nimekuwa mhanga wa mahusiano ya ndoa yangu kwa muda mrefu sasa na kama mnakumbuka nimeshawahi kuwaomba ushauri humu nanyi kunishauri nawashukuru sana. Leo naomba tena tushirikiane katika hili ambalo Neil shauliwa na baadhi ya rafiki zangu...
  12. Mia tisa itapendeza

    Kumuoa mwanamke ambaye hajasoma sawa na kumleta mganga wa kienyeji ndani ya nyumba

    Ni kweli mazee utalishwa vyakula vyenye maji maji ya papuchi mpaka ukome!.
  13. Mia tisa itapendeza

    Figisu Figisu CECAFA: Zanzibar Heroes wahofiwa kutumia madawa ya kusisimua misuli!

    Mimi naamini Zanzibar wameshinda kihalali kabisaaaaa!.
Back
Top Bottom