Recent content by Mhono Mrenda

  1. Mhono Mrenda

    Vyeti vya darasa la saba

    Mimi siyo mtu wa maandamano hata siku moja. Maneno tu yanatosha
  2. Mhono Mrenda

    Vyeti vya darasa la saba

    Ni kuwa vyeti havitolewi tena wewe maliza madara saba ishia zako.
  3. Mhono Mrenda

    Vyeti vya darasa la saba

    Hivi kila Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi anayekuja huwa na madiliko katika sekta ya elimu? Huyu aliyepo sijui kama amefuta utoaji wa vyeti vya darasa la saba. Kuna mwingine alikuwepo akataka watoto wawe wanaenda shule kupumzika kama siyo kulala maana alitaka kufuta masomo yote. Akianzia na...
  4. Mhono Mrenda

    Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    CHADEMA wanataka kuanzisha Boko Haram Tanzania, ni kitu ambacho hakiwezekani. Walikuwa wanapima akili za viongozi wa serikali waone.
  5. Mhono Mrenda

    Dr Slaa na Dharau kwa Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM)

    Dr. Slaa ni mla kondoo wa watu wengine. Dhambi ili mzidi akakimbia upadre. Na dhambi hiyo itaendelea kumtafuna polepole hadi mwisho.
  6. Mhono Mrenda

    CHADEMA chatoa ushahidi kuhusiana na Green Guard

    CHADEMA ni chama cha wavuta bangi tu. Ukianzia na Wabunge wake mpaka Red Brigade yao wanayotaka kuanzisha.
  7. Mhono Mrenda

    Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

    Tuachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake maana humu kila mtu anaongea la kwake ambalo halina ushahidi wa kutosha. Inawezekana kuna kikundi kinachojihusisha na maswala haya ya ulipuaji wa mabomu mjini Arusha.
  8. Mhono Mrenda

    Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

    Sumu, huyu Lema nafikiri ana upungufu wa akili, maana yeye ndiye anayekuwa mbele kuchochea maswala ya udini kama hajui. Mimi nimejaribu sana kumsikiliza maneno yake anayoyasema hayana mantik yeyote. Hawezi kumtukana kiongozi wa nchi kama vile anamtukana mtu wa rika lake tena ambaye siyo...
  9. Mhono Mrenda

    Star times, ting na DSTV zinachakachulika

    Hebu leteni basi hilo somo la namna ya kuchakachua Decoder ya Startimes, maana baadhi wameacha kutumia baada ya kupandisha bei ya vifurushi vyao.
  10. Mhono Mrenda

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    kweli mimi sikutegemea kama katika chama kikuu cha upinzani ambacho watu wanaona kinaweza kuleta ukombozi katika nchi hii viongozi wake wamegeuka kuwa watu wa malumbano ya kisiasa. Tafadhalini sana msifike kulogana wala kuuana- tumia vikao halali vya chama kusuluhisha haya maana inaonyesha...
  11. Mhono Mrenda

    MATOKEO Darasa la Saba si yenyewe

    Tukumbuke kuwa Mtihani wa darasa la Saba ulifanyika kwa kutumia mfumo unaoitwa OMR [Optical Mark Reader] ili mashine hiyo itumike kusahihishia mtihani. Je kweli wanafunzi hasa huko vijijini walipewa mazoezi ya kutosha ili kufanikisha zoezi hilo? Maana kila Waziri wa Elimu anayekuja lazima aje na...
  12. Mhono Mrenda

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Nape wewe songa mbele wala usirudi nyuma, kama Dr. Slaa amegoma kurudisha kadi ya CCM inaonyesha kuwa kuna siku atarudi nyumbani kama mwana mpotevu.
Back
Top Bottom