Recent content by mhina chandima

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wadau anaejua mustakabali wa ajira za walimu shule ya msingi

    Jamani msaada wenu mana kila kukicha nasikia taarifa tofauti sasa kama kuna mwenye taarifa rasmi aniambie kuhusiana na ajira mpya za walimu shule za msingi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mikumi, Ndg.Joseph Haule aka Prof.J afunga ndoa takatifu

    Hongera sana mwambaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tusiipuuze Hofu hii ya Mh. Lema na Mzee Mwinyi kuhusu rais Magufuli

    Kwa mabadiliko yapi kaka
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli futa tawala za serikali za mitaa

    Bado sana mtatafuta kila jinsi ya kutakatisha kaniki kuwa nyeupe lakin ni ndoto hayo mapato mliyokuwa mnakusanya kwa hayo mamilioni mbna barabara ndo mbovu kupitiliza!!!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tusiipuuze Hofu hii ya Mh. Lema na Mzee Mwinyi kuhusu rais Magufuli

    Labda tundu lisu ndo pekee anaweza kuvaa viatu vya magufuli
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtaala wa elimu yetu nchini ina tija ya kukuza uchumi wetu Kweli?

    Mfumo wetu wa elimu tuanoutumia huwa unanipa maswali mengi sana kwa sababu walengwa wa mfumo huu hautujengi kuwa na wazo mbadala zaidi ya ajira serikalini na pia hata ukipata wazo la kujiekeza au kujiajiri bado mtaji wa kujikwamua kiuchumi unakuwa mtihani pia kutokana na hali halisi za maisha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania New song: Eneka by Diamond Platnumz

    Huyu jamaa fundi bhana!!! Tuacheni unazi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aridhia maombi ya Jaji Prof. Ruhangisa kustaafu mapema

    Najiuliza kwa nn utawala huu wa awamu ya tano viongozi wanayakimbia madaraka badala ya kuyakimbilia kama zama zilizopita????
Back
Top Bottom