BAKOI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,213
- 2,326
MAGUFULI BORA UFUTE TAWALA ZA SERIKALI ZA MITAA
✍Serikali kuu na serikali za mitaa zimekuwa established na Katiba ya JMT. Shabaha kuu ya ugatuaji wa madaraka kutoka serikali kuu kwenda serikali za mitaa ni kurahisisha utoaji huduma. Ili huduma zitolewe lazima halmashauri ziwe na uwezo wa kukusanya mapato.
✍ JPM sasa kaondoa kodi ya majengo badala ya kukusanywa na halmashauri zinakusanywa na TRA. Iringa tuli target kukusanya millions 800. TRA hawajakusanya hata millions 80 kwa mwaka, tulizoletewa ukitia millions mia tulizowapa.
✍JPM kanyang'anya halmashauri ushuru wa mabango. Sasa zinakusanywa na serikali kuu. Sisi Iringa tulivuka lengo la makusanyo tunakaribia millions 400. Chanzo hiki kitaathiri bajeti ya mwaka 2017/18
✍ Serikali kuu imezinyang'anya halmashauri nyumba zote za serikali zilizokuwa kama chanzo cha mapato kwenye halmashauri.
✍Shabaha ya ugatuaji ni kurahisisha kutoa huduma. Serikali kuu imeipora halmashauri kutoa huduma za matengenezo ya barabara ambazo siyo za Tanroads na kuunda TARURA - Tanzania Rural and Urban Road Agency.
Maana yaje nini? Idara za ujenzi kwenye halmashauri zitakuwa sehemu ya wakala. Road Funds zitakuwa zinakwenda TARURA na siyo halmashauri. Tutegemee barabara nyingi kuwa mbovu. Halmashauri kwa sasa haziwajibiki na barabara. Muulizeni Magufuli....
✍ Maagizo ya Magufuli kuja kwenye Local Govt yamekuwa yakisumbua bajeti tulizopanga. Umepanga kutumia Billions 40, halafu anakuletea maagizo ya kutumia Billions 2 tena. MED, CED, DED wanakua hatarini na kuwa chanzo cha migogoro na Council.
✍Ruzuku toka serikali kuu haifiki asilimia 100% kwa halmashauri zote nchi nzima. Tunapata kwa asilimia 60% tena kwa kuchelewa.
✍ JPM ni bora akazivunja tawala za serikali za mitaa kwa sababu anatamani afanye mambo yote mwenyewe
Dady Igogo
Diwani - Gangilonga.