Recent content by Mhigomkami

  1. M

    JamiiForums Tanzania yaongeza uwezo wa uzalishaji wa mabati, yazidi mahitaji ya ndani

    Mabati yapi bora kwa upande wa Pwani/DSM?
  2. M

    JamiiForums Wanafunzi wasichapwe, serikali mnafikiria nini

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
  3. M

    JamiiForums Licha ya tangazo la kufunga shule na El Nino, shule ya Carmelite imepanga kuendelea na masomo

    Vyuo vyote vya elimu vimefunguliwa na vijana wameripoti na wanapewa mikopo na hao hao uliowasema hapo juu. Hiyo elnino inanyesha kwenye shule za watoto wenu tu? Muda mwingine inabidi kunyamaza tu maana tunaonekana wavivu au tunaogopa mambo ya kawaida kabisa. Msimu wa mvua umefika nchi yote...
  4. M

    JamiiForums Licha ya tangazo la kufunga shule na El Nino, shule ya Carmelite imepanga kuendelea na masomo

    Sijaelewa lengo ni lipi, nyie mnaosomesha mliambiwa lengo ni lipi?
  5. M

    JamiiForums Licha ya tangazo la kufunga shule na El Nino, shule ya Carmelite imepanga kuendelea na masomo

    Kuna tatizo lolote mtoto kuendelea kusoma? Uko mkoa gani?
  6. M

    JamiiForums Kwa wahitaji wa KOKOTO nyeusi na Mchanga...

    Pamoja na usafiri itakuwa million ngapi kwa km 100, cubic meter 20?
Back
Top Bottom