Recent content by Mhigo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Bunge la JMT hawaeleweki au hawajielewi?

    Sasa hapa kiranja ni yupi na msaidizi wakiranja ni yupi.Hata uniform hakuna.
  2. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nahitaji Busara Kuuongoza Mkoa wa Mwanza

    Unajua mabalozi wanahekima sana.Huwa wanapata wapi semina? Hiyo ndio hodi yanamwanza? Iringa university mkuu.Mkiti CCM mkoa wa Iringa,Mjumbe uhakiki Mali za CCM anajua mbivu zote za ufisadi CCM
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utendaji uliotukuka wa Dkt. Anna Makakala ukimpendeza Rais awateue wakuu wengine wa Majeshi yetu Wanawake

    Dr Anna Makakala apewe hata PM. Hatatudanganya kupitia dini. "Du aende wapi Magomeni au Kariakoo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Matakwa ya Spika Ndugai kuhusu Kamati za Bunge kufuatilia mchakato wa ajira za walimu. Je, Serikali inafanya udanganyifu?

    Na wakurugenzi nao tuwaangalie wanamahusiano gani na MATONYA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kama bunge halitaibana na kuihoji serikali nani atafanya jukumu hilo?

    Wabunge zaidi ya 370 wote hawaikosoi serikali? Muanze kurusha mubashara ili wananchi tuanze kurekodi hoja kwa wabunge wetu. Ndioooooooooo,hata hawaelewi nakupiga meza kwa wingi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nahitaji Busara Kuuongoza Mkoa wa Mwanza

    Unajua mabalozi wanahekima sana.Huwa wanapata wapi semina? Hiyo ndio hodi yanamwanza?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kama bunge halitaibana na kuihoji serikali nani atafanya jukumu hilo?

    CCM hatuwezi kuihoji serikali kwasababu Bashiru tunae atatuandika majina.2025 hawezi kutupitisha kama 2020 waliokuwa wanaihoji serikali walionekana wajuaji.Sasa tumejifunza no KIMYA! Hats kumuuliza PM KIMYA! Watusaidie uviko 19.Wao hawana chakupoteza.
  8. M

    JamiiForums Tanzania DC Jerry Muro na mbio za mwenge Arumeru

    Omba control number ya malipo,ili uchangie kimoyo safi.Usikubali kulipa kwa MTU mkononi wantu wa dili wako wengi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania IKULU, inakuwaje Rais anasimama upande wa kushoto halafu Dangote kulia? Hamna watu wa Protocol?

    Sasa ndio umewachanganya wajuaji
  10. M

    JamiiForums Tanzania IKULU, inakuwaje Rais anasimama upande wa kushoto halafu Dangote kulia? Hamna watu wa Protocol?

    Mna mambo. Kila mmoja ni afisa protocol. Kwani bar huwa mnakaaje?so mnajua kila kitu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, Daniel Chongolo akutana na kufanya mazungumzo mzee Pius Msekwa

    Bashiru washauri wake walikuwa akina Basiteeeeee na Saboyaaaaaaaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bunge kuwa na Wabunge kinyume na matakwa ya Katiba. Je, ni Bunge halali Kisheria?

    Kuna tofauti kubwa sana Kuchunga ng'ombe na Kuchunga mbuzi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya Meya Kinondoni kugombana na Mkurugenzi

    Swali,hela walizokusanya kwa wananchi zilipatikana?au kila mmoja alitumia mabavu ya nafasi yake. Waandishi wahabari waruhusiwe kushiriki vikao vya mabaraza mwanzo mwisho,ili wananchi tujue no diwani yupi yupo pamoja na shida za wananchi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kamati haikuona umuhimu wakuzuia mikusanyiko? Hili jambo in aibu kuruhusu mikusanyiko wakati kuna UVIKO no 3 tena Kali sana.
Back
Top Bottom