Recent content by Mheshimiwa Mwl Steve

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    ccm washajulia chalinze tena mtoto wa sam luhanga ndo anagombea tunatarajia kupata asilimia 100 kwa riz moko sam luhanga jk
  2. M

    JamiiForums Tanzania Big up Hemedy, haya ndo mambo tunayoyataka kwa waTZ

    Tanzanian actor sees potential in Zambian film industry By NDANGWA MWITTAH TANZANIAN actor Hemedy Suleiman, who was in the country to work on a production featuring the likes of Maureen Lilanda, Sulu and Macky II, says the Zambian film industry has the potential to grow beyond expectations...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waigizaji Tanzania mnamuona Lupita Nyong'o

    wanachezewa mno na serengeti boys akina almasi platinamu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    Wabunge nchini wanaenzi sana amani. Licha ya tofauti zao za mara kwa mara bungeni na ambazo wakati mwingine huongozwa zaidi na ushabiki wa vyama vyao kiasi cha kuzomeana na hata kushtakiana mbele ya Spika wa Bunge. bado waheshimiwa hao huonekana kuwa ni kama marafiki wawapo nje ya 'mjengo' wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka amsifia Tundu Lissu bungeni, amshauri rais Jk ampe uwaziri wa katiba na sheria!

    Naona wanakumbushia ya mwaka 2012 Wabunge nchini wanaenzi sana amani. Licha ya tofauti zao za mara kwa mara bungeni na ambazo wakati mwingine huongozwa zaidi na ushabiki wa vyama vyao kiasi cha kuzomeana na hata kushtakiana mbele ya Spika wa Bunge. bado waheshimiwa hao huonekana kuwa ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

    mkumbuke kupokea posho pia
  7. M

    JamiiForums Tanzania kwa viongozi wa bongo badae sana

    Uhuru, Ruto to take 20% pay cut President Uhuru Kenyatta has announced that he and Deputy President William Ruto will be taking a 20 per cent cut on their salaries. He said that all the 18 Cabinet Secretaries had agreed to take a 10 per cent pay cut as part of austerity measures announced...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nape na Kinana wamshitaki JK kwa wananchi

    unamanisha slaa amesha kuwa amiri jeshi mkuu?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Meya wa Bukoba (Dr. Amani) akanusha kujiuzulu!

    wahafidhina wapo mpaka ccm,mi nilidhani wapo cdm maalum kusulubu mm
  10. M

    JamiiForums Tanzania Meya wa Bukoba (Dr. Amani) akanusha kujiuzulu!

    kuna ukweli ukweli ndani yake. Jamaa itakuwa alijiuzuru kwa mafumbo ili upepo upite. Badae ameona upepo umepita na jamaa kawageuka yaani kama mieleka vile. Jamaa alikuwa kajilaza na refarii akapiga mara mbili ya tatu jamaa ameibuka game iendelee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Meya wa Bukoba (Dr. Amani) akanusha kujiuzulu!

    Hata daudi balali alikuwa amejiamini mno kumbe kilichokuwa nyuma ya pazia ni hatari
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM Tujifunze Maana ya Division Of Labour, Tubadilike Sasa!

    le mutus huwa namwambia badae sana ndo atakua sa hz bado ni mchanga sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania General knowledge for all: How to make symbols with keyboard

    kuna watu waongo jamani
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya Big Results Now ni Big Failure Now

    Watu wanawekwa tu kwenye vitengo nyeti hawana uwezo. Wenye uwezo tumewekwa pembeni. Haya ndo matokeo ya akili ndogo kuongoza kubwa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Kambi ya upinzani ni waongo na ni wazushi

    CHADEMA imezidiwa leo,namwona Msigwa akiwa na mnkari lakn spika hampi nafasi
Back
Top Bottom