Kwani huduma zipi hizo za kufuata mkoani kwani kama ni matibabu anaweza kwenda chato hivihivi na akatibiwa mie niko kahama ninadra sana kwenda shinyanga kufuata huduma huduma zoote zinapatikana wilayani kama matibabu huwa tunapewa rufaa moja kwa moja bugando
Watake radhi watu wakahama hakuna mchango wa buzwagi kwa mji huo na kama kigezo ni hicho hata tarime kuna north mara gold mine ila haitii mguu kwa kahama now buzwagi mwaka wa tatu toka ifungwe njoo.ucheki watu wanavyoshusha gorofa za kisasa na mijengo ya kuishi ya kisasa population inazidi...
Halafu uzi ni kahama na njombe mbona mnatoka nje ya mada njombe walete kanisa zuri kuzidi hilo la kahama maana kutwa kurusha kimnara cha kanisa wakati kanisa lenyewe la kawaida
Kuna uzuri na ukubwa elewa hio tofauti nilichosema ni kanisa zuri kwa kulinganisha na makanisa ya njombe sasa wewe wakawe kamo umetoka wapi.uzi huu haukuhusu
Nimekwambia wale tunawazidi kwa wingi wa mapato ila sio maendeleo sasa nimeyumba wapi? Hoja yangu nikwamba hata mkikusanya pesa nyingi hamuwezi kutuzidi maendeleo maana tayari tushakuwa manispaa mfano sasa hivi kuna mradi wa bank ya dunia wa lami kilomita 26 barabara za mitaa na ujenzi wa masoko...
Mipango sio matumizi kahama tunazidi manispaa za iringa moshi shinyanga bukoba musoma songea sumbawanga tabora kigoma ujiji kwa mapato je kahama inazidi manispaa hizo kwa naendeleo jibu hakuna ukiwa manispaa unaletewa vitu vya maendeleo hata kama hujachangia pia ujue kitu hiki kahama ni mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.