Njombe vs Tunduma vs Katoro vs Dodoma vs Kahama

Njombe vs Tunduma vs Katoro vs Dodoma vs Kahama

Dah ila mmeikosea Tunduma heshima kwanza unatakiwa ujue kila sehemu mapato ya mwezi yapoje ndo uludi hapa.
 
Miji ambayo inakuwa kwa mfumo wa biashara Ni kahama ,tunduma ,makambako ,masasi nk hii asilimia kubwa imetawala biashara na Kuna miji inakuwa kwa mazao muhimu yanayo patikana eneo husika Kama miti ya mbao ,parachichi nk hii Ni Kama njombe ,mafinga nk sijaiweka katoro kwasababu ule bado sio mji kamili miji yenye nature hiyo Ni mingi mno
 
Itaje kwa manufaa ya wote.
 
Sipafahamh katoro na kahama ila kuilinganisha tunduma na Dodoma au njombe ni kuikosea tunduma heshima
Bahati nzuri naifahamu miji yote in terms of business na population yes Tunduma iko viruri lakini interms infrastructure,modernisation,living standard na urban planning Njombe Iko mbali sana kwa Tunduma.,Tunduma imejengwa bila mpangilio tunazidiwa na upande wa Zambia.Barabara za Lami Njombe Iko juu ya Tunduma.Kifupi Tunduma inazidi Njombe pirikapirika za biashara zisizohusiana hardware na Agroproducts ambazo njombe Iko juu zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom