Recent content by mhanuzi wangu

  1. mhanuzi wangu

    Simulizi ya maisha: KABURI LA MSOMI

    Jioni ya siku gani mkuu🤣🤣🤣
  2. mhanuzi wangu

    SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Mko wapi kwa sasa mbona siwapati?
  3. mhanuzi wangu

    Simulizi ya maisha: KABURI LA MSOMI

    Sioni kama ni mbaya kihivo, japo kuna makosa madogomadogo ya kiuandishi. Leo fanya kweli mkuu JJ former
  4. mhanuzi wangu

    Taarifa ya TAKUKURU kuhusu raia wa Kichina kukamatwa na fedha haramu zaidi ya Bilioni 2

    """Ukamataji huu ulifanyika ukishuhudiwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay iliyopo katika Kata ya Msasani, Wilaya ya Kinondoni ambaye alithibitisha kuwa watuhumiwa hao walikamatwa wakiwa na kiasi tajwa. Ieleweke kwamba, Maofisa wa TAKUKURU ndiyo waliomwita Mwenyekiti wa Serikali ya...
  5. mhanuzi wangu

    Katika vita vya pili Ujerumani had the best military technology kuliko USA wala Urusi lakini ilikuwaje wakashidwa vita?

    Kwahiyo ilikuwaje sasa mpaka dakika ya tisini wakabanwa mbavu licha ya kuwa na siraha zote hizo.
  6. mhanuzi wangu

    Simulizi ya maisha: KABURI LA MSOMI

    Vipi mkuu, mbona umetutelekeza mapema?? JJ FORMAR Leo bado tu.
  7. mhanuzi wangu

    Simulizi ya maisha: KABURI LA MSOMI

    Vipi mkuu, mbona umetutelekeza mapema?? JJ
  8. mhanuzi wangu

    Chanzo cha Ugomvi wa Marekani Vs Venezuela

    Manufacturing tena. 🤣🤣🤣
  9. mhanuzi wangu

    Mvua siku 3 tu hiyo SGR yetu imesombwa na maji

    Kwa uzembe au makusudi Wanatengeneza tatizo ili wakati wa kulitatua tuwasifie kwa uwajibikaji wao uliotukuka. 🤣🤣
  10. mhanuzi wangu

    Simulizi ya maisha: KABURI LA MSOMI

    Ngoja nipite 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
  11. mhanuzi wangu

    Simulizi ya maisha: KABURI LA MSOMI

    Ndiyo narudi tena JF, nakutana na vitu vyangu kabisa. 🙏🙏🙏🙏🙏
Back
Top Bottom