<br />
Sio jukumu lake kuweka documents, waambie hao waliosema na waliokubali kuwa ni mkataba wenye masharti nafuu watuwekee hayo masharti tuone unafuu wake.
<br />
Nimefurahi kwa sababu najifunza na kuelewa mengi, ila nasikitika kwa sababu sisi tulishindwa kwa sababu CCM hawakutaka. Hata TBC wameona ni muhimu kurusha presidential debate ya kenya, sasa ipi ni muhimu ile ccm waliokataa au hii ya kenya? Inauma sana....lakin nawashukuru TBC kwa hili!
Strabag ambae ndio anaejenga hiyo barabara sio aliedesign hiyo barabara, yeye anapewa michoro ambayo inaonyesha nini anatakiwa afanye kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Alidesign hiyo barabara ni SMEC International, hawa ni kutoka Australia, na ndio wanaoisimamia hiyo barabara. Swala la mitaro ya...
Tumechoka na kampeni zenu za kumchafua zitto kwa kashfa za nyuma ya pazia, mwanzoni mlikua mnafanikiwa kumchafua kwa mtindo huo, ila now watu wameshachoka maana hayajawahi thibitika hata siku moja. Kwa kifupi Zitto ni jembe linaloongoza kuifanya serikali isilale hata ukimuuliza pinda na mkulo...
Sasa jaman ukimaliza form six halaf ukaenda kusoma diploma maana yake uliliwa kichwa katika matokeo! Then ukaenda india kwa digrii, huko ndo kweny digrii za vyuo feki vya kitaa, kuna vyuo vya kata kama zilizovyo sekondary zetu za kata!
Dr Kashilila amenisikitisha mpaka nashangaa huu ni udokta gani usioweza kulinganisha vitu, anadai amekaa bungeni toka zamani kukiwa kuna redio tz tu iliyokua ikirusha bunge na hakukuwa na vurugu, mtu akiambiwa akae anakaa. Anaringanisha bunge la chama kimoja na bunge la vyama vingi ? Huu si...
Jambo ulilolifanya kwa namna flan ni la busara lakin kiukweli unaweza ukakosa nafasi kubwa ya kuihudumia jamii na kuitetea kama ulivyokua ukifanya. Kumkosa Zitto bungeni ni pengo kubwa sana, maana ktk wabunge 3 bora wa bunge la jamhuri ya muungano na zitto nae yumo. Kama vip achukua jimbo...
Jambo ulilolifanya kwa namna flan ni la busara lakin kiukweli unaweza ukakosa nafasi kubwa ya kuihudumia jamii na kuitetea kama ulivyokua ukifanya. Kumkosa Zitto bungeni ni pengo kubwa sana, maana ktk wabunge 3 bora wa bunge la jamhuri ya muungano na zitto nae yumo. Kama vip achukua jimbo...
Acha ukeleketwa na chuki binafsi, soma tathmin kilichoandikwa jenga hoja. Sio kila kitu lazima tulete mambo ya siasa uchwara. Kama ni masalia haya tunashukuru kwa taarifa, but great thinker sio kwa mtindo huo. Jamaa naye ni mwananchi ana uhuru wa kutoa maoni yake sio lazima chama. Maana hata...
Okay nimekupata mkuu, hata daraja la kigamboni basi haikua huruma ya serikali kwa wananchi bali ni kusaidia uwekezaji wa kigamboni na ndo maana maghufuli alikua na nyodo sana kwa wananchi wa kigamboni.
Leo kwenye taarifa ya habari ya Itv nimemsikia mama Tibaijuka akisema mji wa Kigamboni utatumia trillion 11 mpaka kumalizika kwake. Sasa najiuliza hizo pesa zitatoka wapi maana ni karibia na bajeti ya nchi nzima. Kwa wanaifaham hii project kwa undani naomba mtujuze source of funds for Kigamboni...
Acha kutuaminisha siasa zako! Hatuhitaji ushahidi wala kuipa bodi ya bandari tuhuma zozote ili wazijibu, bandari inanuka kwa rushwa na ufanisi wake ni mdogo, nenda hata kawaulize watu rwanda, burundi, congo mpaka zambia wanalijua hilo. Hata wew unayajua haya sasa unataka tuwabebe mgongoni. Piga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.