Recent content by Mhaiki2022

  1. Mhaiki2022

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sarakasi za Yanga na no reform no election

    Ni wazi kuwa timu ya Yanga wameamua kuwaunga chadema kwenye kampeni yao na hii itakuwa kuna watu wanawafadhili...kwa kuwa ukiangalia kwa undani slogan yao ya HATUCHEZI NG'O ni kama ya chadema. Serikali iwangalie vizuri hawa watu utakuta wana agenda ya siri na chadema.
  2. Mhaiki2022

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya facts kuhusu nyoka

    Uzi haujitoshelezi
  3. Mhaiki2022

    JamiiForums Tanzania Bashe apiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini kuingizwa nchini

    Huu ndio ubwela ubaya....hatuwezi kuchezewa hovyo hovyo... wazungu wanasema scratch my back I will scratch yours...
  4. Mhaiki2022

    JamiiForums Tanzania Azam TV waendelee kusimamia dondi

    Karibia mwaka sasa Azamtv wamesitisha ku promote ndondi...mpaka sasa wale mabondia wameanza kusahaulika... Viongozi wa ndondi wakaiangukie Azam na kuweka michezo hiyo kwenye channel zake... vinginevyo hali itakuwa tete...
  5. Mhaiki2022

    JamiiForums Tanzania Mpambe wa Rais Samia apunguze kutabasamu na kucheka

    Kuwa mlinzi sio adhabu ni kazi kama kazi zingine
  6. Mhaiki2022

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni

    Ningejua ningekopa mapema kabla ya kufungiwa..na wao BOT wawe wanatoa taarifa mapema
  7. Mhaiki2022

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue teknolojia ya OLED inayotumika katika kutengeneza TV za kisasa

    Mi bora nione picha tu inatosha
  8. Mhaiki2022

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimechukua hii LG ya mtumba 49", kuweni makini

    Tunashukuru kwa kutuongezea uelewa japo mm naikubali INBOX
  9. Mhaiki2022

    JamiiForums Tanzania TCRA Walimpongeza Nape Baada Ya Kutumbuliwa na Rais: Hii ni Dharau Kwa Mamlaka

    Hao ni vijana wa chama hivyo kaxi inaendelea..
  10. Mhaiki2022

    JamiiForums Tanzania TCRA Walimpongeza Nape Baada Ya Kutumbuliwa na Rais: Hii ni Dharau Kwa Mamlaka

    Unaweza kuta anapewa kazi maalumu wapumbavu nyie
  11. Mhaiki2022

    JamiiForums Tanzania TCRA Walimpongeza Nape Baada Ya Kutumbuliwa na Rais: Hii ni Dharau Kwa Mamlaka

    Kutenguliwa sio kufukuzwa kazi hilo tulielewe..
  12. Mhaiki2022

    JamiiForums Tanzania TCRA Walimpongeza Nape Baada Ya Kutumbuliwa na Rais: Hii ni Dharau Kwa Mamlaka

    Sijaona tatizo hapo
Back
Top Bottom