Recent content by Mhagos

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hawa Polisi kama wametumwa kutafuta pesa sasa wanatukomoa

    Wanalinda usalama wa raia na malizao kusahau kodi yako ndiyo mishara na malulupu yao
  2. M

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Kumbuka Kauli ya Mh. Mwakyembe kuwa TBC itakuwa Kama BBC au CNN kwa ubora
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

    Nadhani sasa tunao maelfu ya waimba sifa wanaolipwa kwa kodi zetu! {nimeipenda sana}
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

    Watanzania wa Leo wanashangalia sana mtu/watu wakipatwa na majanga/matatizo kwap ni furaha na shangwe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Maendeleo na Demokrasi kipi kiwe kipaumbele cha Tanzania?

    Kuna mafanikio na maendeleo haya tunyo yaona ni mafanikio sio maendeleo kwani hakuna jipya vyote vilikuwepo baada ya uhuru
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mengi hapa Machame sasa inamilikwa na wifi yetu

    Ule Mji ni wa watoto aliyo zaa na Mzee Mengi nasio wa Jackline yeye ni mgeni tu pale hana kitu kuwa mpole
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tukubali tusikubali, Magufuli anaibadilisha landscape ya Dar!

    Hivi Baba yako akikununulia school uniform "Sare za shule" wakati school fees hajalipa na shule umefukuzwa utasoma!! ?????
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Nchi inapita kwenye kipindi kigumu, wafadhili wamepunguza misaada

    Nasikitika kwa kweli kwani hakuna msaada duniani wenye sharti moja tu. Ayataje masharti yote tuyachuje wenyewe! Anavyotubagulia ayatakayo haipendezi. Aseme na masharti mengine yote. Huyu jama sikuhizi kawa mnafiki na Mzandiki sana sijuwi tunakwenda wapi???? !!!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari kuwasilisha petition UN

    Muungano wetu ni union, sio federation, tumeungana tumekuwa kitu kimoja, URT, hakuna tena nchi inayoitwa Tanganyika, hakuna nchi inayoitwa Zanzibar, zote zili surrender their sovereignty na kuunda nchi moja ya Tanzania .Hivi kwa nini kuna Tanzania BARA na kuna Zanzibar amabayo nilitarajia kuitwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UGANDA: Aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Buyende apigwa risasi

    R.I.P
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nilipokuwa Mwenyekiti wa POAC, tulimhoji Tido Mhando na kuthibitisha hakuwa na kosa

    Thanks Brother for nice quote !!!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais wetu tumeshamjua, twende na midundo yake!

    Kaka asante sana kwa ujumbe nikweli kabisa sijuwi hitabia tumejufunza wapi???
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wema wa Kenya ni Hatari kwa Tanzania (nimeelewa kwanini Rais Magufuli hakwenda Nairobi)

    Uoga wako ndio umasikini wako. Kwakweli na maranyingi tafakari kwanza kabla ya kufikiria
Back
Top Bottom