Kwa mwenye kujua Jinsi ya kufika Atlantis Hotel please msaada wako ni muhimu, kwa kuanzia kutuo cha warioba pale mikocheni napanda magari ya wapi na kushukia wapi
Habari wadau,
Waajiri watajwa hapo juu wameanza kupigia watu simu leo kwa ajili ya usaili wa Sales and air ticketing agent utakaofanyika siku ya ijumaa SAA tatu asubuhi katika hotel ya Atlantis Masaki
Mimi nimepokea simu yao leo , kwa mwenye ufahamu wa maslahi yao hawa jamaa please atujuze...
HABARI ZA ASUBUHI WADAU WOTE WA JAMIIFORUMS
Mimi kama Mtanzania mzalendo naomba niwasilishe malalamiko na kilio cha wanajeshi wetu walioko mstari wa mbele wakihatarisha maisha yao huko JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA WATU WA KONGO wakipambana dhidi ya makundi mbalimbali ya WAASI.
Hivi karibuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.