Recent content by Mgwangwaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania UDOM best wishes in UE

    Msisome tu kwaajili ya kufaulu mitihani bali kwaajili ya kuelewa kwani siku hizi hawaajiri GPA bali uwezo wa kupractice ulichosoma.Pia jitahidini kujenga credibility ya chuo chenu kinachoonekana kuwa na graduands ambao hawawezi kuperform!Study and prove it wrong kwa wale wanaokiita chuo hiki cha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Iringa: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi kwa kuzidisha muda wa mkutano

    It is true source radio one breaking news
  3. M

    JamiiForums Tanzania M4C-OPD: Picha toka Bunda kwa Stephen Wassira

    Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CHADEMA na mkurugenzi nusura watwangane ngumi

    Kitendo hiki cha viongozi kuvutana hadi kuchaniana nguo ni ukosefu wa maadili hasa kwa kiongozi wa kuchaguli na huyo DED ambaye ni presidaa appointee!kILICHOKUWA SO DEMANDING KWENYE HIYO DOCUMENT NINI!The do nothing leaders
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Gairo aamuru Polisi kupiga mabomu ya machozi wakulima

    Duh!Kweli tunahitaji viongozi wenye kufanya critical analysis kabla ya maamuzi kwani hiyo miti haiwezi ikapandwa katikati ya mahindi then watu wakaambiwa wasioteshe tena hilo eneo ni msitu!Kuliko kuwatia wakulima hasara kama hii!anyway kama watu pengine tuliona wakichomewa nyumba na mwekezaji na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Arusha hawajui kuwa Kinana anatoka Arusha

    Does it help to know him anyway?for what then!let the dead bury their dead"
  7. M

    JamiiForums Tanzania Re:uhusiano kati ya uongozi wa nchi na umasikini

    Wakubwa hivi kuna uhusiano wowote kati ya uongozi katika nchi na umasikini kwa wananchi wa nchi husika?Je umasikini wa Tanzania unaweza kuwa umesababishwa na aina ya viongozi tulio nao!Naomba maoni
  8. M

    JamiiForums Tanzania Re:kuvaa mlegezo

    Hivi kuvaa mlegezo kwa vijana wengi ni ujanja au ushamba tu unaowasumbua!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Final mapinduzi cup nani zaidi

    Vp matokeo ya simba na kcc
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Diwani anayesubiri kuapishwa kata ya Sombetini

    Cdm oyeeeeeeeeee!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Leo hamna cha simu wala ipad ndani ya court -- Zitto anaelekea kushinda

    Akishinda wabunge wa mahakama wataongezeka kama Kafulila, Rashid mohamed wa CUF n.k
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke Joseph Yona, apigwa na kuumizwa vibaya!

    Tuwaze na kurespond analytically kwani walipomchukua walimwonyesha vitambulisho?Maana akisema alidhani ni polisi iweje polisi waende kumkamata bila kumwonyesha vitambulisho?Pia tusigeneralize kama ni CDM kwani hata adui zake wanaweza kumfanyia hivi!Kwani waliomteka ulimboka nao walikuwa CDM let...
Back
Top Bottom