Recent content by Mguu pande

  1. Mguu pande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Anateswa na jini mahaba, kajaribu kila kitu kimeshindikana

    anitafute kwa maombezi Baba messiah atamponya
  2. Mguu pande

    JamiiForums Tanzania China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

    Kumbe matajiri ndio wanashikilia nchi na kuiendesha aisee noma sana.
  3. Mguu pande

    JamiiForums Tanzania Trump atangaza kutoshiriki tena midahalo ya urais

    Acha kuzalau watu,hata wewe unauwezo wa kwenda kugombea.
  4. Mguu pande

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Zele boy analia lia mpini umemuingia haswa safari hii, Kp Kipanya 44,Uko front nawewe au upo bonyokwa ndani ndani ya kisii.
  5. Mguu pande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kuachana na mwenza wa miaka mingi tuliyezaa watoto 5 pamoja?

    Ngoja niweze Siti hpa.
  6. Mguu pande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapoingia kwenye mahusiano, hakikisha unajua jinsi ya kutoka endapo penzi litafikia tamati

    Mkuu huyo ni wewe kwenye picha hapo.
  7. Mguu pande

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Rais wa mamluki Kipanya jana na leo usomeki kwenye jukwaa hapa. Kipanya leo kajificha migori chini ya daraja,we ndio ndugu wa Zele boy. Njoo utuambie kinachojili uko kiv wangapi wamelambishwa mchanga wa ukrn.
  8. Mguu pande

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    ***** hawa miungu watu.
  9. Mguu pande

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    Augustine Okejepha ni Simba
  10. Mguu pande

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Mpishi wa Simba Mpya

    Punguza maneno mengi,mpira ligi bado.
  11. Mguu pande

    JamiiForums Tanzania Jibu la Putin baada ya Korea kusini kupeleka silaha Ukraine

    Muda ufike mara ngapi mwambie Biden aende akafate dhana zake za vita ambazo zipo Moscow. Putin yupo pale anawacheki mzavo bwabwaja maneno matupu bila kuzama mzigoni. Nyie wamarekani wakwa mtogole nawani USO kumekucha.
  12. Mguu pande

    JamiiForums Tanzania Je, wanachi wa Israel Wanagoma kwenda vitani?

    Israel wa bonyokwa thread inawausu hii.
  13. Mguu pande

    JamiiForums Tanzania Luis Miquison kuachwa ni pigo kwa Simba SC

    Mchezaji lazima apitie changamoto zilezile za kiwango kushuka na kiwango kupanda hiyo ni kawaida kwa mchezaji.
Back
Top Bottom