Taarifa katika vyombo vya habari Israel zinasema Israel inataka kupitisha sheria ya kuwataka wananchi wote wa Isarael kujiunga jeshini iliwaende vitani kwani askari wengi aidha wanaumwa au hawataki kuendelea na vita dhidi ya Wapelestina.
Kumetokea mvutano kweny bunge kwa baadhi ya vyama kupinga baadhi ya jamii ambazo hazitaki kabisa kuhusishwa na sherria hiyo kama vile Haredi Community na Ultra Orthodox .
Yanahitajika maelfu ya askari vitani ambako imeonekana kuna upungufu mkubwa na hata waliopo ni kama hawana nia ya dhati ya kuipigani nchi yao.
Wakati huo huo Hagari,msemaji mkuu wa jeshi anasema huwezi kuishinda HAMAS kwa sababu HAMAS ni itkadi.Iko mioyoni mwa wapelestina wa GAZA hivo Israel itafute namna ingine ya kushinda na sio kupambana na HAMAS.
Kwa sababu HAMAS kina kila mtu wa GAZA