Recent content by Mgunyamweusi

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi kugombana mbele ya watoto

    Naamini kwa Idea ya Miss Chagga aliposema Mtoto ilikuwa ni kiwakilishi tu kuwa anaweza kuwa mtoto au watoto inategemea na mna familia kubwa kiasi gani
  2. M

  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi kugombana mbele ya watoto

    Pole sana Mkuu. But Naamini maadamu umelitambua one day litapotea. Lakini hili bado ni tatizo kubwa katika jamiii zetu.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi kugombana mbele ya watoto

    Katika hali ya kawaida ya kuhabarishana na kufurahishana rafiki yangu mmoja ametumia picha hiii. Na nikaona si vibaya nikawashirikisha nanyi ndugu zangu ili tupate cha kujifunza. Imekuwa ni kawaida kwa wazazi wengi inapotokea kutokuelewana, basi hugombana na kutoleana maneno mazito bila...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini mwanaume akimtongoza mwanamke siku mbili anataka kufanya nae mapenzi?

    The Boss mambo gani tena hayo ya wagunya?
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini mwanaume akimtongoza mwanamke siku mbili anataka kufanya nae mapenzi?

    Eddy tupe uzoefu wako. Hatimaye matokeo yalikuwaje?
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini mwanaume akimtongoza mwanamke siku mbili anataka kufanya nae mapenzi?

    Wana jukwaa wenzangu habari ya majukumu, Naomba nipate mawazo na mtizamo wenu katika hili. Leo asubuhi na mapema nilipoamka nimekutana na ujumbe kutoka kwa rafiki wa kike akiomba kusikia mtizamo wangu na maoni yangu juu ya jambo hili. Akaniuliza hivi, "Ni kwanini siku hizi mwanaume...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Said Arfi: Katiba ya CHADEMA ina mapungufu

    Aliyetumia kauli ya kusema kuwa Hata Quran ina Makosa naamini alikusia kwa nia njema kabisa. hakukusudia kukashifu kama ambavyo Mheshimiwa umekashif. Maneno uliyoyatumia kwa kiasi kikubwa naamini yamkosa busara na uvumilivu stahiki
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi mgeni, hodii

    Mjumbe GENTAMYCINE, Mimi sio wale wa kuja kwa kubadili gia, Hapana Nimekuja kama Mgunyamweusi na nitabaki kuwa Mgunyamweusi siku zote
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi mgeni, hodii

    Mjumbe Sibonike kama utaratibu ndio huuu basi mimi itabidi suluhu niipate tu nyumbani kwa mjumbe sitafika hahahaha hahaha
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi mgeni, hodii

    Hivi utaratibu wa nyumba kumi kumi upo kweli zama hizi? Kama upo naomba kuonyeshwa kwa mjumbe hahaha
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi mgeni, hodii

    Haina neno wenyeji wangu. Karibuni kwa Uchunguzi. Uwe uchunguzi huru na ripoti ya uchunguzi itolewe hadharani hahaha
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi mgeni, hodii

    Asante sana kwa Mwongozo
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi mgeni, hodii

    Asante sanaaaaaa
Back
Top Bottom