Recent content by Mgunda Jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je , wajua maana ya taa za viashiria hivi kwenye dashboard ya gari yako na rangi hizi zinavyomaanisha.? Soma hapa tumekuwekea ufafanuzi.

    Nina magari mawili Toyota Run x na Kulger. Magari yote mawili yana changamoto ya kuwasha taa ya Engine nikitembea distance fulani..Yani sio kwamba inawaka muda uleule nikiwasha gari labda nikitembea kilometers kadhaa ndio unakuta inawaka. Hii Run x ni ndani ya siku moja ndio huwa inawaka ila...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taa ya Engine kwenye gari

    Habari Wakuu..nina magari mawili Toyota Run x na Kulger. Magari yote mawili yana changamoto ya kuwasha taa ya Engine nikitembea distance fulani..Yani sio kwamba inawaka muda uleule nikiwasha gari labda nikitembea kilometers kadhaa ndio unakuta inawaka. Hii Run x ni ndani ya siku moja ndio huwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Library ya kusomea

    Duh..😃
  4. M

    JamiiForums Tanzania Library ya kusomea.

    Habari Wakuu.. Kuanzia kimara hadi mbezi kuelekea kibamba na ukanda huu wote wapi Kuna Library ya kusomea tafadhari .
  5. M

    JamiiForums Tanzania Library ya kusomea

    Habari Wakuu.. Kuanzia kimara hadi mbezi kuelekea kibamba na ukanda huu wote wapi Kuna Library ya kusomea tafadhari .
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uzi mfupi nikimalizia kuhusu aina za Staking kwenye cryptocurrency

    Kwa upande wa binance locked unapata hadi asilimia ngapi annually maybe
  7. M

    JamiiForums Tanzania Road Weighbridges

    Awareness About Road Weighbridges and Road Regulations Is a Must to These Directly Involved Stakeholders.👇 1. Transporters/Trucks Owners 2.Transport Officers 3. Drivers. This Will Help in One Way or Another The Involved Company or Transporters To Avoid Some Loss and Other Complaints Which...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Road Weighbridges (Mizani)

    Awareness About Road Weighbridges and Road Regulations Is a Must to These Directly Involved Stakeholders.👇 1. Transporters/Trucks Owners 2.Transport Officers 3. Drivers. This Will Help in One Way or Another The Involved Company or Transporters To Avoid Some Loss and Other Complaints Which...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Forex trading Vs cryptocurrency

    Habari wadau. Naomba kujua utofauti kati ya Forex trading na Cryptocurrency ili nijue nakaa wapi ili niwe vizuri zaidi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaotaka kununua hisa za CRDB: Case study of IT Outage

    Dah ila mambo ya hisa bn ni umiza kichwa kinoma yani 😂
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Empox

    Mwilini
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Empox

    Tafadhari wapwa tiba ya fasta ya ugonjwa wa Empox ni ipi..je kuna sindano au tiba mbadala ya kuponyesha fasta hivi vipele vyake.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wachina wa Kamali

    Seriously Kaka nipe no tuwasiliane
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wachina wa Kamali

    Kwema.. tafadhari msaada wa mawasiliano ya hawa wachina wa madubwi au mashine za kamali wanapenda sn kutembea na magari ya kluger. Muhimu Sana.
Back
Top Bottom