Recent content by Mgumu

  1. M

    Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Busara itangulie badala ya nguvu... Mungu ibariki Tanzania iondokane na haya majanga...
  2. M

    Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

    Msisitizo wangu uko pale pale... ufanisi wa tendo la ndoa Kutokana na hali halisi ya sasa, mambo ni magumu, zamani mke alikuwa akiolewa akiwa BIKIRA hajapata kumjua mwanaume, ndoa hizo zilidumu kwani huyu mwana mama hana kumbu kumbu yoyote ya jinsi alivyopigwa shaft kwa ufanisi tofauti na wala...
  3. M

    Ni Nini Hasa Mwanamke Anahitaji?

    Pole sana superman, tatizo liko kwako unatakiwa upate KIKOMBE upate kupona Kumfukuza mwanamke, si suluhisho, kwani kama hautafanya utafiti na kugundua tatizo yaaani utawafukuza mwisho utajifukuza nawe pia Mwanamke mpe vyooote, kuanzia gari mpaka utajiri wako wote lakini vyote ni bure, jamaa...
  4. M

    Ukistaajabu ya MAFATAKI utayaona ya Viongozi wa dini.

    Wewe na wao hakuna tofauti, ilitakiwa kwanza ukemee nafsi yako kabla ya kuanza kushangaa ya wenzako Kama mlichunguliana bila zana, wahi kwa Babu Ambi ukapate KIKOMBE
  5. M

    Mke wangu simuelewi kwa miaka 10 ya ndoa, naomba msaada

    Pole sana ndugu yangu kwa maswaiba yanayo kukuta Ndoa kama taasisi ina changamoto nyingi sana, jipo moyo, na jitahidi kutafuta chanzo cha mfarakano, tatua tatizo kisha maisha yatasonga. Kwa mfano, kuna wanandoa walipata kuwa na mfarakano uliotishia ndoa yao kuvunjika, kwani mwanamke alikuwa...
  6. M

    US Election Coverage 2008

    If there is anyone out there who still doubts that America is a place where all things are possible; who still wonders if the dream of our founders is alive in our time; who still questions the power of our democracy, tonight is your answer. It's the answer told by lines that stretched around...
  7. M

    Elections 2010 I'm done with Kikwete! - Say NO to Second Term!

    Mkjj Nakutakia mapumziko mema, na Mungu muweza wa yote akusimamie na kukuongoza kati mkakati wako ulioamua kuufuata. Wazo alilotoa kichwa ngumu ni la msingi, wadanganyika ni wavuvu sana wa kusoma, kama ukitumia redio na kijarida, hakika utapata tija kwa muda mfupi Kila la her Mkjj
  8. M

    Mwana JF aaga dunia!

    Haleluya!!!!!! Kazi ya Mungu haina makosa, dada yetu amemaliza kazi...amekwenda kupumzika, tulimpenda sana lakini Mungu amempenda zaidi... jina lake lihimidiwe. Tumuombe Mungu amjalie mume wa marehemu jasiri, busara na hekima katika kipindi hiki kigumu cha majonzi. Nasi tulio baki siku...
  9. M

    All about Edward Hosea, Mwanyika

    Hii ni dhiaka...... Huyu jamaaa naona kaamua kuwa mwanasiasa, mwishoni mwa mwaka 2007, Huyu jamaa alitamba kwenye vyombo vya habari kwa kauli tata .... nawapa wala rushwa muda, washerehekee waka mpya baada ya hapo wawe tayari kukabilialiana na sheria.... ni huyu huyu leo anakuja na story...
  10. M

    TANZIA Ukiwaona Ditopile afariki dunia

    Bro. Dito ametangulia, hakuna atakaye pona hii ni safari yetu zote hata na mafisadi........... 'Tulitoka kwa udongo, tutarudi kwa udongo" bwana alitoa na bwana ametwaa......
  11. M

    Ni Kweli Rais Hafanyi Maamuzi Bila Kuunda Tume?

    Kwa muelekeo wa utendaji wa serikali yetu sina shaka imeamua kuendesha nchi kwa mtindo wa tume. Nimelitafari hili jambo, baada ya kuundwa tume ya mapendekezo ya mishara ya kima cha chini, tume hii ilifanya kazi yake na kutoa mapendezo yake kwa mkuu wa kaya na na mara baada ya utekelezaji wake...
  12. M

    ATCL: Another Richmond!

    Bandugu tusaidieni, nami nafungua lakini wapi, nimedownload adobe 8.0 likini sijafanikiwa, ninapata msg ifuatayo, Winzip Cannot open file: it does not appear to be valid archive. if you download this file, try downloading the file again. Wajuvi wa mambo tusaidieni tusakate wote...
  13. M

    Usalama wa Taifa: Mpo likizo?

    Bravo Rev Kishoka, good analysis. Thats why I live JF
  14. M

    Kikwete awadanganya watanzania - TENA

    Bongo rhumba kali......... Mwanzoni mwa mwaka 2007 kilo ya sembe shs 250 kwa sasa ukienda dukani kwa mpemba kilo ya sembe ni shs 500 Upande wa nyama ndio usiseme, kwa sasa nyama mchanganyiko bucher za mwenge ni shs 3,700 - 4,000 nilipouliza wauzaji kwanini bei imepanda sana, jibu lao ni...
  15. M

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Admin. naomba uchukue hatua... Tufikie mahali tukubaliane kuwa mijadala inayohusu watu binafsi ianzie kiunoni kwenda juu, na mambo yote yanayohusu kiunoni kwenda chini ni mambo binafsi. mimi hainisaidii kusikia kua kiongozi fulani kalala na fulani, kiongozi fulani kavunja nyumba ya...
Back
Top Bottom