Recent content by mgummoja

  1. M

    JamiiForums Tanzania University of dar es salaam yashika nafasi ya 6 kwa ubora barani africa.

    IT`S GOOD BUT SOME THING TO NOTE IS "4icu.org University Web Ranking is a non-academic ranking" (source 4icu.org)
  2. M

    JamiiForums Tanzania URAP: MUHAS is the best university in Tanzania

    sooooooo..? Mfamaji haishi kutapatapa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania UDSM-Law First Classes

    Kuwa kama msomi!! siyo kila kinachokujia kichwani lazima ukilete jf.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Degree ya SUA pesa yako tu

    kuhusu wanafunzi udsm kwenda tuition??????????
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tcu hawana sauti juu ya vyuo vikuu vilivyo chini yake.

    Leo napenda tujuzane juu ya udhaifu wa tume yenye thamana ya kusimamia vyuo vikuu, ninavyofahamu walaka wa TCU ulisema kiwango cha dalaja C katika masomo ya vyuo vikuu kianzie na 40 na sio 50, inakuwaje mpaka sasa baadhi ya vyuo bado imebaki 50 na hakuna hatua zilizochukuliwa, mfano ni Mzumbe...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SUA ni kama juventus.

    unaonaje ungekwenda kwenye jukwaa la siasa, coz ndio maeneo yenu ya kuongea mawazo ya sanaa.no new.....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    Mkuu umarufu wa coet umetokana na umri ilionao hapa tz na uwepo ma machine zilizoletwa na german ambozi almost East Africa nzima hazipo, hope umeelewa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

    kwani mliambiwa waliopo udsm ni vipanga tu? tuache kuwalaumu kama hawaelewi wafanye nini?.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

    Wakubali wachekwe hapo ni kukomaa tu mwanzo mwisho hadi kieleweke...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Udom kama Barcelona

    Na hizo pass marks za 30 mnataka mwende wapi?.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maskini mimi,naijutia nafsi.nahisi nishaliwa kichwa/nishadisco at sokoine university of agriculture

    Pole ndugu hapa ukiwa chini ya hiyo 16 na mchezo umekwisha, anyway inaweza ikawezekana lakini si unajua sua C inaanza na 50 na cyo 40 kama mlimani na ndugu zake.Usisahau kumludia mungu wako.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Udsm ni kama manchester united!!!!!!!!!!!

    Ukimaliza komaa wakupatie na chuo uludinacho kwenu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    mkuu naona kama bado hujielewi, kwa hizo coment ilikubidi uwe ulishaelewa. gd tym
  14. M

    JamiiForums Tanzania University of Dar es salaam iamke sasa, imedumaa kwa kipindi cha miaka 50.

    vip wakuu mbona mnakuwa wakali tunapozungumzia udhaifu wa udsm kikiwa kama chuo chetu kikongwe tz?. whyyyyyyy............
  15. M

    JamiiForums Tanzania University of Dar es salaam iamke sasa, imedumaa kwa kipindi cha miaka 50.

    No riserch no right to speek.Tafuta undergraduets wa mwaka huu katika course chache kama Computers science, Bsc with education etc uone kama hao wenye principle 2 hawapo,then uludi kufuta utumbo ulioandika hapa.
Back
Top Bottom