Jamani unajua watanzania sio wajinga nimesikia kuwa kuna wahanga wa kashfa hii wamepanga kufungua kes mahakamani kuzima hii issue ila kama mahakama inaingiliwa hata bunge linaingiliwa wajue hilo suala hili ni la kibunge na kufungua kesi ni kuingilia uhuru wa bunge.
Msikariri kuingilia uhuru wa...
Niko maeneo ya Taifa mashabiki wameanza kuingia tangu mapema sana,hali ya hewa leo safi joto si kali mashabik upande wa Simba wanatabasamu na furaha kuliko wa Yanga
===============================
DAKIKA 90
YANGA 0-O SIMBA
viongoz wa juu wa jeshi la polisi niwala rushwa wakubwa na pia ndio huwatuma askari wa chini kufanya uhalifu. Mfanö fuvu la binadamu huwekwa Exhit room na lazima kielelezo kikitnka OCS mkuu wa kituo ajue, hawa walitumwa na wakuu wao walete pesa. Ukikamatwa wanakukana. Jesh halina weled kwa sasa...
Nimesoma taarifa leo juu ya askari wa vyeo mbalimbali kufikishwa mahakaman kwa uhalifu. Sina tatizo na hilo. Tatizo kubwa ni namna ambavyo viongozi wa juu hasa mikoani kuwabambikia kesi askari wa vyeo vya chini na kuwafukuzisha kazi na wanapopeleka mahakamani hushindwa hata kutoa ushahid nusu...
Nilifuatili kwa karibu Mh. Wasira akitoa utetezi wake ju ya ccm kupinga udini. Kwa kifupi naomba nimwambie CCM walikinadi chama cha CUF kuwa ni cha waislamu had kikakosa suport. Nakumbuka 2005 wakati wa kampen za uchaguzi katika kijiji cha gologolo shume mkoani tanga wilaya ya lushoto jimbo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.