Recent content by mgosi agosigwa

  1. M

    Wizi wa mifuniko ya barabarani kama vyuma chakavu

    Nahisi suala hili halijanikera mimi peke yangu. Madhara yake ni kama kuharibu magari epecially kwa madereva wasioijua njia vizuri pia kuvunja miguu ya wapita kwa mguu hasa nyakati za usiku. Hivi ni kwamba Halmashauri zimeshindwa kabisa kutatua tatizo hili au? Kama mimi ningepewa fursa ya kudeal...
  2. M

    Kagame will never live in peace, ni mwoga mno!

    My message to all Rwandese mnaobishana kila kukicha hapa JF..acheni chuki mkajenge nchi yenu.acheni basi walau watoto wenu waje kuishi kwa amani na vita iwe historia tu. Vita vya ukabila ni kama vita vya udini hakuna mshindi siku zote. Mkitaka mfanikiwe acheni kunyoosheana vidole na muwe kitu...
  3. M

    Matumizi ya pembe za ndovu

    Ndo chakula chenu kikuu nini mzee?
  4. M

    Matumizi ya pembe za ndovu

    Naomba mnieleweshe wana JF, hivi pembe za Ndovu zinatumika kutengenezea nini?
  5. M

    Nat Geo Wild and Tanzania Tourism

    Kama ndo hivi basi hatari sana kwa Taifa hili. Inabidi kuangalia upya suala hili serious. Ngoja nifatilie kuuza film ya one hour ni pesa ngapi hapo Nat Geo Wild chanel.
  6. M

    Nat Geo Wild and Tanzania Tourism

    Kututangaza peke ake tu haitoshi. Lazima mkwanja tuuone pia mkuu Wao wanapiga hela sana kwa kuuza hizi video. Nchi inapata nini?tuliangalie vizuri hili suala. Kama wanalipa hela nzuri zinaliwa ovyo pia tunapaswa kujua.
  7. M

    Nat Geo Wild and Tanzania Tourism

    Media kama hizi tukizitumia vizuri itakuwa safi sana. Najua hata wahusika wanapitaga humu kutafuta yanayowahusu waone jamii inasemaje. Lets try to change this beautiful nation. Awareness is one of them
  8. M

    Nat Geo Wild and Tanzania Tourism

    Asante mkuu, tujaribu kudiscuss mambo ya msingi kwa TAIFA Letu.
  9. M

    Nat Geo Wild and Tanzania Tourism

    Kama humu JF kuna mtu wa TANAPA anaweza kutujuza huwa wanalipa kiasi gani hawa wageni kwa ku-shoot hizi wild animal life stories coz i real guess wanapata pesa nyingi sana wakipeleka hizi videos kwenye hii channel.TANZANIA ni nzuri sana aisee..
  10. M

    Nat Geo Wild and Tanzania Tourism

    Kila mara nikiangalia hii channel nakuta almost wild animals stories zooote wanazoonyesha ni kutoka Tanzania..Swali nnalojiuliza hv mpunga tunaopata kutokana na Tourism ndani ya nchi yetu Tanzania huwa unaenda wapi? Nahisi Tourism tu peke ake inaweza kutatua janga la maji safi kwa wananchi na...
  11. M

    "Kukopa harusi kulipa matanga"

    Siku hizi sijui nini kimeikumba jamii yetu au labda kinanikuta peke angu tu!! Unakuta mtu anakuja kukulilia umkopeshe hela na stori kibao za matatizo anayoyaface akiahidi atakulipa baada ya muda flan..aisee ukimpa ujue kama umetoa msaada maana kulipa inakua ishu sana, hata sometimes mtu...
  12. M

    Diva heshima na adabu vimekuondoa cloids change

    Heheheee style yake hii ndo inayofanya watu wa-comment kwenye thread zake..wacha tucheke kidogo
  13. M

    Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

    Natumaini kuna wanasheria humu JF watakusaidia
  14. M

    The Reality of the Butcher Sharon,a war criminal.

    Safi kwa kuelewa..si unaona tukianza kuizungumzia dini flani lazima tuguse maisha ya wafuasi wa dini hiyo? Therefore tunaanza kujenga chuki ambazo zitatula wenyewe ama watoto wetu
  15. M

    The Reality of the Butcher Sharon,a war criminal.

    Si unafk mzee..najua he is not innocent. Ila nnachoona humu watu wanaanza kuchangia based on din vs dini. Its dangerous am telling you, believe it or not, especially kwa jamii kamaTanzania ambapo kuna lot of intermariages btn muslims and christians. Ni ugomvi ambao hauna mwisho coz inazungumzia...
Back
Top Bottom