Recent content by mgorho

  1. M

    Lowassa aitikisa Meatu

    kwani hujui meatu kulikua na mbunge wa chadema?
  2. M

    Maoni ya Ananilea Nkya kuhusu hotuba ya Dr. Slaa

    Ananilea nkya kutoka kaskazini mwa Tanzania anareport.....!
  3. M

    Jaji Lubuva: Nape angeijua Serikali asingekurupuka

    wakuu mnisaidie kujibu swali hili"Eti shetani angekua mtanzania angekua chama gani cha siasa"?
  4. M

    Watoto wa marehemu Godfrey Rupia wamtetea Mama Yao

    Kama Diaspora akili zao ziko hivi acha nilime bangi Tarime/mbeya!hata kama baba alikua na shida gani wangekuja kumzika ndo waandike VIDHUNGU hivi!utetezi utamzika dingi ako!maza wako hana shida yeye kaishatengeneza familia nyingine!wewe na sister wako mmebaki mnaelea!
  5. M

    Katika kutimiza miaka 40, Mwigulu atoa zawadi ya damu kwa Watanzania

    Namshangaa sana Mwigulu,hivi akitumia jina lake halisi hawezi wika kisiasa mpaka alazimishe majina ya wafu!
  6. M

    January Makamba awaita wasanii wa Bongo Movie Serena Hotel leo

    Acha uongo JB na Mzee Majuto tuko nao hapa Mwz na wamefikia G&G Hotel kuna function wanafanya kwa siku mbili ndo warudi Dar!
  7. M

    Sehemu gani za kutembea jiji la Mwanza

    kama huna familia nenda DV8 iko nyakato nundu mida ya usiku bora zaidi!
  8. M

    Kikwete yuko Vietnam

    Membe yuko.Russia!nchi tamu hii!
  9. M

    Mchina ampiga diwani makofi mahakamani mbele ya hakimu

    Mkuu tupe jina la huyo diwani,wakurya wanakuaje waoga na kupigwa na mchina!labda diwani alipewa pesa ya kuleta mbwa na mbwa hana!naipenda Bunda ya wassira!
  10. M

    CHADEMA yamsimamisha Mwenyekiti wa Wilaya ya Ngorongoro kwa tuhuma za kughushi mkataba

    Chadema muwe waangalifu kwa nini kila mwenye mawazo tofauti anaonekana ni pro zzk!namjua palapala amehangaika sana kuijenga chadema hapo ngorongoro hakika mkikubali mawazo ya Amani Eti muachane nae mtapoteza jembe!hivi mnajua mazingira ya umasaini?sio mtu anakaa pale arusha anakua na...
  11. M

    Madabida na mkewe wapandishwa kizimbani kwa kutengeneza ARV feki

    Nimekua nikifuatilia mambo ya nchi yangu nabata ushungu!viongozi wengi hasa wa ccm wamekua wakiomba ridhaa ya uongozi si kwa kua ni viongozi,utakuta wanalinda fedha zao au makosa ambayo wamefanya ndani ya jamii!suala la madabida ni uendawazimu kabisa,haiingii akilini mtu anatengeneza ARV fake...
  12. M

    Rai ya Zitto Zuberi Kabwe na muundo wa Muungano

    Wachangiaji wengi hivi sasa sijui ni upeo wa shule au ushabiki!hoja aliyoweka zitto ni suala la mchango wake kama raia yeyote wa JMT,nawe toa mawazo yako!afadhari kapoteza credibility ila yuko bungeni atapata nafasi ya kuchangia!endelea kuweweseka hapa JF!Mawazo yake ni mazuri si kuyaangalia kwa...
  13. M

    Mwenye CV ya Mbwiga

    Mkuu hata mie imenishangaza sana!sasa huo umjini mnaomsifia magazeti anashindwa kusoma anabaki anabweka eeh eeh!siusome basi!watu wa clouds pamoja sifa zote mnapewa hawa wa vijiweni nadhani kakomea lanne waacheni kwenye matamasha kipindi serious km pb kina matangazo mengi co vzr kuweka...
  14. M

    Mhindi auwawa

    Nahisi kama ndo alikua hapa mwanza wana duka la kuuza stationery posta road jirani na mwanza hotel linaitwa united stationery na anaitwa kausha alikua bonge hivi!nasikia pia alihamia dar!alikua na kiburi balaa!anyway RIP bro watu wanatafuta karo za shule!
  15. M

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Kumbuka kisa aliwahi kitoa hata Nyerere,Ingawa Le Mutuz hakika hufuatilii hata nukuu zake"Mfarme alimfukuza mke wake kwa kisa cha kusingiziwa kwamba mke wa mfalme hatakiwi kusingiziwa"sasa unamtetea mbunge tena profesa huoni ccm mnafuga matatizo kuelekea kipindi mkipendacho"UCHAGUZI"tena na...
Back
Top Bottom