Recent content by MGONGA ULIMBO

  1. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    Tehe tehe hapana chezea kiu ya papa..u can do impossible things with the power of papa...u can even snitch your friends..[emoji4] pia unaweza nena kwa lugha ambazo hujawai jifunza..usishangae kuongea kiebrania ukiwa umeshikwa.
  2. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    Mkuu..nimeshindwa hata kukupa like...unanikosea heshima kuniambia mimi sio riziki nitake radhi tafadhali...usichangie mada kwa mihemko...katika uzi kuna sehemu umeona nilipewa nikashindwa au mazingira yalikuwa hayaruhusu??
  3. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..umetisha asee..unagema papa mshkunda bila kujali fungi?..unaloweka tu mzee...hapo mimi hata uniwekee na dettol pembezi sijilipui...upapi unaweza develop moss..[emoji4]
  4. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    Field ya nini mkuu?
  5. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    Dah..hayo mapicha ni hatari sana.[emoji3]
  6. MGONGA ULIMBO

    Vigezo gani hutumia kwenye kuchagua eneo la kuwekwa taa za kuongoza magari?

    Kwa mtazamo wango taa zingekuwa maeneo yafuatayo. Mwenge Njiapanda kawe Njia panda Goba Africana Njia panda kunduchi. Huko kwingine..watafanya foleni iwe kubwa sana.
  7. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    Mkuu umeusoma uzi kwa umakini kabisa?..niliweka wazi kuwa ni kweli nilijirisha kujua kama kweli yupo period..(nilidiriki mpaka kufubgua kapedi kaliko tumika ambacho alikaweka kwenye mfuko katika dustbin..niliamka usiku akiwa kalala)
  8. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    By then nilikuwa kijana mtiifu sana nikiamini katika itifaki kwa kila jambo.Lakini kama ilivyo ada wanawake wa rika letu wanakuwa wameshatuzidi akili siku nyingi.
  9. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    Itifaki ilizingatiwa mkuu..kasoro papa mshkunda ndio nilishindwa kupata fursa ya kugema.[emoji4]
  10. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    Ahsante...ni ugeni tu katika tasnia ukanifanya nipoteze nyota zote tano...silly me [emoji3]
  11. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    Ukishanyimwa ndipo utakumbuka huwa kuna ajali...maana ni mkoa ambao sina ndugu na wala sikuwahi kuota kama nitafika na nimeondoka sijamwambia mtu...lakini ningetunukiwa hata angesema tuunganishe tena mpaka msumbiji ningekwenda bila kinyongo.[emoji4] [emoji3]
  12. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    Zipi hizo mkuu...nifungue macho.
  13. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    To make the risk worth taking..it must be accompanied by huge reward. Sasa risk nilibeba na zawadi haikuwepo...nikajuta.
  14. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    Thanks...we only got fooled once.
  15. MGONGA ULIMBO

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    Huenda ilikuwa hivyo..maana huwezi mtegea mtu safari ukiwa period..bora ingetokea wakati teyari mpo safarini..Niliapa sitojilipua tena.Nikipata mialiko kama hiyo nakuwa muwazi kabisa nauliza period unaingia lini?..jibu la hapo ndipo litanipa msukumo.
Back
Top Bottom