Nasikitika kwa wanaume wenzangu kwa jinsi mnavyomsakama huyo mama,j
Hila kwa jicho la tatu kama namuonea mme wa mama aliyeiba mtoto sababu anajua mkewe kaenda jifungua kijijini kumbe anaenda bambikiwa mtoto ambae hata hamuhusu,duh hii ni noma na keshapigiwa cm kuwa mke kajifungua salama
Wakati wa kufanya uamuzi ni huu,tukutane octoba pale kwenye sanduku la kura maana kuna wakati unaweza hata lia peke yako mtaani kwa sababu ya nchi hii Tanzania
Nashukuru nimepata nafasi hii adhimu kuwa mmoja kati ya member ya watu wanaofikiri kama kama hakuna box vile na sio out of the box.Salute kwa wadau wote ambao bado wanafanya page hii kuwa so best alwayz,nami kwa kuwa ni mmoja kati ya wana mageuzi wa fikra mgando nafurahi kuwa humu ndani hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.