Recent content by Mgombea Mwenza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Humphrey Polepole njoo utufafanulie kuhusu huu wizi unaotuhumiwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Mkuu, Polepole amedhalilishwa sana na Msigwa. Aje ajisafishe
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Tutajadili na Bilioni 252 alizokwapua Magufuli, kwa sasa ni Polepole. Kama huna data tuliza boli soma maoni ya wenzio. Ni kweli Polepole alikwapua Tsh 600,000/-?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Kwanini DANIDA walimpa mkataba mdumavu wa akili?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Sio Msigwa, huo ni utafiti. Msigwa amesema kilichopo kwenye utafiti
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi Dr Walid Kabour, Tambwe Hiza, Thamas Ngawaiya, Juliana Shonza...

    Aliwahi kusema atalala na mama yake akirudi ccm
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Kikwete amefaa?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Nimem-tag, aje ajibu tuhuma za kurubuni mabinti
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Alikwapua shilingi ngapi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania UDSM: GPA ya Maalimu Seif Sharifu Hamad

    Una ubongo wa kuku!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Jana kwenye mjadala kati ya Polepole na Msigwa zilitoka tuhuma kuwa Bw. Polepole alikwapua Tsh 600,000/- kiasi kwamba wafadhili walipunguza mkataba wake kutoka miaka 2 hadi mmoja. Hakuna mahali Polepole amejenga hoja kupinga hili zaidi ya kujikanyaga kwa maneno meeeeeeengi yasiyojibu hoja...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

    ni sawa. Aende kokote anakotaka kwenda, hana manufaa kwa sasa
  13. M

    JamiiForums Tanzania CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Amsalimie pia Mzito Kabwela
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania, mmelala?

    Nimenunua kikopo kimoja nitaanza kukitumia leo inshallah. Mi nyumbani kwangu mabakuli yote ya bati na sharti la udongo ni kutumia kwenye bakuli la plastic au udongo na utumie maki ya chupa ya kilimanjarp
Back
Top Bottom