Recent content by mgole2015

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Airtel Tz (Customer Care) wagoma kufanya kazi Leo

    Haya makampuni ya simu ni majanga wamegeuka kuwa wanyonyaji jamani 270???? Only in TZ hawana wa kuwasema wanajitawala watakavyo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji anaswa akitaka kumchinja mwanaye

    Huyu ni kichaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinawachochea vijana Watanzania kujiunga na Ugaidi?

    Hii issue usalama hapa Tz wajipange, imani ni kitu hatari sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    Mie nakubaliana na Gavana wa Garissa kuwa Al shabab hawana dini hakuna dini inayoruhusu mtu kuhuwa watu wasio kuwa na hatia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Barabara mpya ya Bagamoyo Foleni zimerudi

    Ni kweli barabara ya Tegeta Madale ingesaidia sana kupunguza foreni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Mchana wa TRA: Usajili wa Pikipiki hauna Receipt

    Hata mimi hii imenikuta na nilijaribu kuuliza sikupata majibu commercial then urudishe private
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi nitapata majeneza mazuri zaidi ya Muhimbili?

    Asante sana nimeishapoa uneongea point tupu ubarikiwe sana napia nashukuru sana@gfsonwin
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi nitapata majeneza mazuri zaidi ya Muhimbili?

    Asante sana kwa msaada wenu, nafaham kufa ni kufa naomba tu kuelekezwa ubishoo utakuwa ni wangu naomba nitendewe haki ya kuelekezwa tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi nitapata majeneza mazuri zaidi ya Muhimbili?

    Nashukuru kwa mawazo yenu ngoja nisubiri na ya wengine
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi nitapata majeneza mazuri zaidi ya Muhimbili?

    Kilichokuchekesha? Naomba kuelekezwa kama unapafahamu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi nitapata majeneza mazuri zaidi ya Muhimbili?

    Wana JF naomba kuuliza ni wapi nitapata majeneza mazuri yenye viwango vya hali ya juu hapa DSM zaidi ya Muhimbili? Asanteni
  12. M

    JamiiForums Tanzania Eti huyu naye ni mjane wa kapteni!

    Niwe mzaramo mhaya sio mhaya yote poa tu ila message imefika
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mali za Kapteni Komba kupigwa mnada na CRDB

    RIP Komba
  14. M

    JamiiForums Tanzania Eti huyu naye ni mjane wa kapteni!

    Husipende kujaji kitu husichokijua ndo maana wakasema husilolijua ni usiku wa giza.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania isiingizwe kwenye kitabu cha maajabu ya dunia?

    Swala la Makonda limetustua watu walio wengi hapa nchini.
Back
Top Bottom