Recent content by Mgizo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Figisu Hatimae kufukuzwa kazi

    kulingana na maelezo yako,taratibu za kufukuzwa kazi hazikufuatwa.kwanza ulipaswa upewe 3 warning letters,then uitwe kwenye kikao cha nidham.baada ya kusikilizwa kamati iamue kuku ondoa kazini.ndipo unapewa stahiki zako.kama hawajafuata,then nenda CMA utakuja kunishukuru baadae.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka dar es salaam kwenda Songea!

    Nenda Kamata Kariakoo kuna ofisi za Superfeo wana malori ya kwenda Songea,kuhusu bei inategemeana na wingi wa mizigo yako.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hitaji la ukumbi wa kufanyia Sherehe ya Sendoff

    Ukihitaji Video shooting nione.
  4. M

    JamiiForums Tanzania OSWAMS yabuni mfumo mpya kukabiliana na kero ya kunyonya Majitaka

    Kampuni ya On site Sustanable Waste Water Management Systems(OSWAMS) ni muarobaini wa kero ya maji taka iliyokuwa sugu katika makazi ya watu pamoja na taasisi mbalimbali hapa nchini. OSWAMS ina mfumo maalumu na wa kisasa ambao kazi yake ni kubadilisha maji taka yanayotoka katika chemba ya...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

    ni PM kwa ushauri zaidi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Macbook Pro sata Cable

    Natafuta macbook Pro sata cable,nipo Dar-Kinondoni.Kama unayo nicheki kwa namba hii-0623703370
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mgogoro CHADEMA Moshi: Tamko la Emanuel Mlaki baada ya kusimamishwa Uongozi

    Katibu wa Chadema Moshi Vijijini Bw.Emmanuel Mlaki amegoma kusimamishwa uongozi na Katibu wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro Basil Lema kwa madai kuwa uamuzi huo ni wake binafsi na haujatokana na maamuzi ya vikao halali vya Chama cha Chadema mkoani humo. Akizungumza katika mahojiano na Mtandao huu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Moshi:Katibu Emanuel Mlaki agoma kusimamishwa uongozi, ampa Basil Lema siku 7

    Bundi ametua ndani ya chama cha na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro kufuatia madiwani sita wa Halmashauri ya Moshi, kutakiwa kujieleza kwa usaliti. Kufuatia tuhuma hizo Katibu wa Chadema Wilaya ya Moshi, Emmanuel Mlaki amewaandikia barua madiwani hao akiwataka kujieleza hata hivyo barua...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A serious single man with 33+ yrs old aje pm

    nipe contact zako inbox
  10. M

    JamiiForums Tanzania Blog nzuri kwa Designing ni hiii............Hivisasa.co.tz

    Mimi mtembeleaji mzuri wa mitandao ya kijamii hususani Blogs,nimependa design ya Hivisasa.co.tz.Je kuna nyingine unayo ijua?
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume tuoane

    hello,vip umeshampata?
Back
Top Bottom