Recent content by Mgirik

  1. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    Ulifanya ukatili mkubwa sana. Kumbuka hujafa hujaumbika. Yawezekena mkeo mwambia jamaa kuwa yupo single. Hayo yanaweza kukuta hata wewe unaweza kumpata mwanamke akakudanganya kuwa hajaolewa na ukajiingiza kwenye mahusiano lakn kumbe ameolewa. Je na wewe unastahili kufanyiwa hvyo?
  2. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Hivi mchina ambaye ni mkongwe au HR wake anaweza kusema hawa ni wamasai wa ulinzi

    Yaani jamii nyingi za wafugaji, wamasai,mang'ati, wasukuma. Hawawi na jina moja. Wanakuwa na majina tofauti tofauti kwa kadri anavyohama mazingira. Leo hii ukimkuta masai somanjiro anaitwa Relaito na siku ukimkuta morogoro utakuta anaitwa Mambai au atajiita jina la kiswahili Mselemu. Ukija...
  3. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Hivi mchina ambaye ni mkongwe au HR wake anaweza kusema hawa ni wamasai wa ulinzi

    Kwa akili yako ulitaka wawe na karubega,sime ,fimbo na rungu na wawe wametobolewa masikio??? Kwani wewe unawafahamu wamasai wa wapi mpaka ukatae kuwa hao sio wa masai. Usiishi kwa kukariri mazingira ya mtu. Kuishi kwa Mazoea
  4. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi

    Usicheleshe hawatabiriki
  5. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi

    Hakina principal ya kuishi na mwanamke wa aina hyo. Inategemeana na akili yake, wapo wengne wastaarabu na wanaheshimu ndoa zao na heshima kwa mume wake haishuki. Lakn kuna wengne ndio wanaota mapembe na unaweza kujua kila aina ya rangi yake. Kikubwa omba Mungu tu ailinde ndoa yako. Lakn pia...
  6. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mawakili wanaridhishwa na uongozi wa sasa wa TLS basi Kuna shida kubwa, nawashauri nendeni tena shule

    Kwa heshima uliyonayo humu JF bora usijibu hoja za vilaza kama hawa. Hakuna jambo la maana ataweza kukujibu
  7. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka Yanga anafanyiwa hujuma ili kusudi Simba achukue ubingwa angalau mzani ubalance

    Hayo ndio matatzo ya kufikiri kwa kutumia matako. Hujuma ipi amefanyiwa yanga? Wakati goli la pili la yanga ni clear offside, Kipindi cha kwanza Max kapata nafasi ya kufunga lakn yeye anatungua shuti la kupaisha, kipindi cha pili Dube a.k.a isarael mbonyi amepata nafasi zaidi ya mbili lakn...
  8. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Gari zinazotoka morogoro kwenda mahenge ni adnas inatokea mafiga. Kama ni msamvu basi ulipanda mbekenyela au Efra. Na hizo zinatokea DSM moro hupita mchana. Anyway karibu mahenge tutafute spino na dhahabu. Mwaya naijua sana sehemu za Ruaha, kituti sali, hadi ketaketa. Tuko na wanaapolo. Huyo...
  9. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Majibu mabaya kwa mpenzi yasababisha mauaji: Mkasa wa kusikitishaA wa 'Mr. Blue'

    Hakuna manslaughter hapo. Kitendo cha kumchoma kisu baada ya kutamkiwa maneno ya dharau sawa, lakn je alichukua hatua zipi baada ya kutenda kosa? Lait kama angempeleka hosptali ingekuja pure manslaughter. Lakn kitendo cha kumpeleka nyumbn kwake na kumkatakat vipande hyo ni murder
  10. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Hawa wakongwe JF wapewe heshima

    Kuna hawa wengne sijui wako wapi kwasasa. matola, The secretary, Mentor ,Christine Ibrahim, miss chagga, Manka m, Evelyn Salt,@mtambuzi,Khantwe ,firstlady na wengneo
  11. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

    Legendary umepotea sana mkuu. Habar za miaka
  12. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

    Kama ni kweli umefanya vyema kulipa kisasi lakn ujue vita ndio kwanza mbichi. Huyo mama, mwanaye wa kike na huyo mchumba wa mdokozi hao hawana kosa lakn umewafedhehesha. Jiandae kwa vita kubwa sana tena ya nguvu za giza, hata kwa familia yako iwe makini sana. Wanawake sio wepesi wa kusamehe...
  13. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Yaani ni kilaza flani na hata mwanamke amemgundua kuwa hamnazo ndio maana anafanya anavyotaka
  14. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Mrejesho mwingine wa mke wangu, alirudi ila baadae aliondoka tena

    Yaani ungekuwa mdogo wangu ningekutia ngumi mpaka unichukie milele, unaaibisha wazazi wako, mbona unakuwa kilaza hvyo? Yaani mke wako kila mwanaume anajiondolea nyege kwake mwishowe wewe unakula makombo ya wenzako. Shenzzy type
Back
Top Bottom