Recent content by MGIGISI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa leseni zote za madereva, vyeti vya vyuo kuanza nchi nzima

    Huu ni usumbufu mmeshindwa kujua chanzo cha ajali mnakuja na mawazo mfu kabisa..... Wee boss wa traffic polisi umeshindwa kazi nn? Chanzo cha ajali ni ushirikina tu wala hakuna jingine...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wa daraja la Aga Khan - Coco beach kwa sasa

    Naomba kuuliza wakuu.... Hili daraja na lenyewe litakuwa la kulipia?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Singida, Iramba: Mkutano wa Mwigulu Nchemba wafurika, awataka wananchi wasisononekee Uwaziri

    Kwani kajiuzuru au katemwa? Wengine wamebadilishwa namba uwanjani yeye ni mbovu tu Hata timu aliyomsajiri mkataba ukiisha wa miaka mitano itamtema tu......Nonsensekabisa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ali aanza na mguu wa kushoto

    Kumbukeni sio kila msomi ana AKILI...... Bashiru kakosea timing..... Futari njema.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia maandiko ya Ansbert Ngurumo huko alikokwenda, nimesikitika sana

    Wee mwenyewe una njaa Kali ndo maana unajidai huoni ujinga unaotendeka hapa nchini.... Nonsense kabisa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake pekee ndio humlilia Rais Magufuli?

    TISS kuwa chini ya Ikulu ni majanga..... TISS inatakiwa ijitegemee ipewe power hata rais akizingua wana deal naye......kama mamtoni vile...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwani kusoma ni kujua Kiingereza?

    Justification which can't be justifiable is null and valid.....:D:mad: am I confused here?o_O
  8. M

    JamiiForums Tanzania Epuka wizi wa benki unaofanywa na benki tellers

    Hiyo ililuwa bank gani mkuu na hizo machine zinaitwaje? Kwa machine za CRDB hazibani pesa kabisa pesa ikiwa fake au chafu haipiti na ikitokea imekwama ndani machine haihesabu inazima flani ivi...... Crdb wana machine nzuri sana afu ziko speed balaa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

    Kwani mwenyekiti ndo anaamua au baraza? Acha usilete ushabiki wa kisiasa kanisani wewe.....sisiwaumini tunaunga mkono kwa msaliti kuwekwa pembeni........kwendraaaaa..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

    Kwani mwenyekiti ndo anaamua au baraza? Acha usilete ushabiki wa kisiasa kanisani wewe.....sisiwaumini tunaunga mkono kwa msaliti kuwekwa pembeni........kwendraaaaa..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Wee mleta uzi ni bonge LA famba....usijidanganye na Magufuli wako na bashite wako kwamba watanzania hawatakuja kuandamana hatakama Leo hawatafanya hivyo nakwambia jiwe lisipojirekebisha hakika wadanganyika 2020 watamuondoa kwa vurugu....... Sehemu yakukatikia Uzi ni ndogo Sana'a.... Mange...
  12. M

    JamiiForums Tanzania TLS ni mali ya umma, sheria ya TLS imetungwa na Bunge

    Kwasasa BUNGE sio Mali ya UMMA tena Maana lipo chini MTU mmoja..... Halina maamuzi yoyote Yale tena ni bunge KIBOGOYO....... Bunge halitetei UMMA kama linavyotakiwa linatetea selikari hilo sio Bunge LA UMMA.......
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye 'mtemi' Jecha Salim Jecha ang'atuka

    Jecha kaishatumika sasa kawekwa kando.... Walomtumia watamsahau muda si mrefu..
  14. M

    JamiiForums Tanzania Katika dhana ya mgawanyo wa madaraka, ni sahihi mbunge wa kuteuliwa awe na sifa ya kuwa Spika au Naibu Spika?

    Day! Jamaa umewaza kwa kina sana..... Kingine ambacho binafsi kinaniumiza kichwa ni cheo cha DPP hakika huyu jamaa kapewa power kubwa sana...... Na hakutakiwa kuteuliwa na Raid.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

    Hata hivyo huyo mpambe aloondaka hajaenjoi kabisa huu utawala Maana kusafiri kwenyewe shida tu.... Marupurupu kayamisi sana ya JK enzi hizo.......
Back
Top Bottom