Chief, sijui kwanini watu hamuelewi! Ngoja niongee kwa maneno machache! "Hili ni Dambwi langu, gidamu nitampa yeyote nimtakaye, nyinyi wengine wote ni wateja tu, shares zote ni zangu hivyo sipangiwi".
Mkuu, umehitimisha mtazamo wako pasikua na habari za pande zote mbili? Hujiulizi ni kweli ile barua kaandika Nchimbi? Hujiulizi kwa nini taarifa imetokea insta? Yaani mtu Mbobevu wa siasa lakini pia umri wake anaweza kuwaza kujiuzuru kupitia Instagram? Waza kwa mawanda mapana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.