Recent content by Mgeule

  1. Mgeule

    JamiiForums Tanzania 20% ni kweli yuko jela Congo?

    Yupo kwao Kimanzichana!
  2. Mgeule

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki: Baada ya uhakiki wa vyeti, tutahakiki matumizi ya mishahara kwa watumishi

    Hili ni Azimio la Arusha, tatizo weengi ni vijana. Sisi wazee twalijua hiloo. Huwa inaendana na kutaifisha!
  3. Mgeule

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Ni marufuku kuwasaidia Ombaomba barabarani jijini Dar

    Yalimshinda Makamba hayoo! Tusubirie
  4. Mgeule

    JamiiForums Tanzania Hatimaye biashara ya Ngono yarejea kama kawaida

    Tanga twafaidi Chichi night club, 2000 tuu
  5. Mgeule

    JamiiForums Tanzania CRDB Jibuni email

    Mnaomba kazi?
  6. Mgeule

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Tanga maeneo ya Kange

    Jamani naombeni mnisaidie namimi ninahitaji kiwanja Kange au Nguvumali
  7. Mgeule

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tanga umekamilika kuliko mikoa yote Tanzania

    Ninahitaji nyumba au kiwanja, nipo bandari Tanga. Please yeyote mwenye nacho tunaweza kufanya mawasiliano.
  8. Mgeule

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Ndugu wadau naombeni mnijuze kiwango cha mishahara kwa ngazi zilizopo hapo juu. Mamlaka ya bandari kwa anaefahamu
  9. Mgeule

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wakuu nataka kuagiza Suzuki Jimny, cif price 2080usd itanigharimu kiasi gani mpaka kuitoa. Naombeni msaada tafadhari!
  10. Mgeule

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wakuu naomba mnijuze, kwenye importation ya gari unajumlisha na cif value ya tra?
  11. Mgeule

    JamiiForums Tanzania Mahujaji toka Tanzania waliokufa Makkah wafikia 6, wengine 50 hawajulikani walipo

    Dah, Inna illahi wainnaillahi rajwn
  12. Mgeule

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Gari za Right Hand Drive huwa ni kwa export tuu. Haziendeshwi UAE Dubai. Nyingi hupelekwa Oman
  13. Mgeule

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ni 2000usd mkuu.
Back
Top Bottom