Recent content by Mgaza_omari

  1. Mgaza_omari

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo unatakiwa kuwa navyo by age of 25+

    Asante sana Mkuu kwa huu uzi yote hayo niliyatekeleza 8 years ago naona faida yake kubwa leo
  2. Mgaza_omari

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Imamu mkuu wa msikiti wa Mtoro Sheikh Zubeir Bin Yahya afariki dunia

    Innalillahi wainailahhi rajiun
  3. Mgaza_omari

    JamiiForums Tanzania Elimu sio Siasa, Nyuma ya pazia Sekondari ya Mt. Francis Mbeya

    True Kiongozi. Iyunga ilikuwa super sana tulisoma na vijana wa Iyunga pale Meta mara nyingi sana. Leo Iyunga haionekani kabisa
  4. Mgaza_omari

    JamiiForums Tanzania Elimu sio Siasa, Nyuma ya pazia Sekondari ya Mt. Francis Mbeya

    Asante Gussie kwa huu uzi, namwoma kabisa mwalimu wangu wa Chemistry Mr Land pale Meta Sekondari kidato cha nne mwaka 2005 akishusha Organic kweli Chemistry tulikuwa tunaiona nyepesi sana. Hali ya elimu nchini kwetu inatia huzuni sana unajiuliza hivi kiongozi wa Serikali anatumia V8 full AC...
  5. Mgaza_omari

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tetemeko la ardhi limetokea, Askari mmoja apoteza maisha

    hapa Tabora Municipal limepita pia
  6. Mgaza_omari

    JamiiForums Tanzania Barua ya Patrice Lumumba kwa mkewe

    Maneno mazito sana, huwa nasikiliza hii story kila siku. Mnaweza check hapa wadau hii documentary in Kiswahili
Back
Top Bottom