Recent content by Mgayalina

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    Nasikia yametoka, jina langu michael p george. Website yao inazingua, tafadhal msaada
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kutuma maomba TCU

    Na mwaka huu chuoni ni mwezi wa ngapi maana form six wanamaliza mitihani yao mwisho wa mwezi wa tano ambapo kikawaida ndo muda wa matokeo kwa ratiba ya zamani. Mwenye uelewa tafadhali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Establishment of Private Intelligence Agency in Tanzania

    Kwani sheria yetu inakataza?? I cant wait kuona ina exist hapa kwetu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wanaopenda kujua kuhusu Kujiunga na JWTZ na Vikosi Vingine vya Usalama

    Asante kwa taarifa mkuu,mwenye tetes za dep za wanauhamiaji?? Je wanachanganywa na wa zima moto?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

    Daaa mm nilipenda kwenda st peters lakin hali ya kiuchumi ndo, nashukuru nipo malezi now nayaexperience mnayosema,
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kujitolea JKT 2014 Zimetoka

    Jamani sasa umri huo si mtu yupo chuo au walengwa form four?
Back
Top Bottom