Recent content by mgaya chacha

  1. mgaya chacha

    Ulishawahi kuingia msalani/chooni kujisaidia na simu yako mkononi.?

    Ukiingia na simu chooni unastarehe zaidi wakati napitia pitia mambo kwenye simu huko mzigo unazidi kishuka bila wewe kuwa na taarifa baadae ndiyo unashituka heeee! Kumbe Nipo chooni unajisafisha unaondoka.
  2. mgaya chacha

    Taifa limeingizwa kwenye mtego wa chuki kubwa

    Siku Zote huwa Sijui kushangilia mpira hii sitarehe ya Mpira ilinipita kushoto kabisa ila Jana Nilivaa uhusika wa wakenya kabisaaaa! Mpaka Wife ananiuliza toka lini? Wewe ulishangilia mpira Nilimjibu Bila Uoga Haitatokea Mimi kushangilia kitu chochote Anachoshangilia Bashite na Meko.
  3. mgaya chacha

    Kama Ex Girlfriend/Boyfriend wako Anaungua, je utatumia nini kuzima Moto?

    Weeee! Tu! Kuna muda nikitazama pia zake nijikuta nafurahi mwenyewe na bahati mbaya ninapicha zake toka akiwa mtoto mdogo kabisa na za makuzi ya Ubinti wa darasa la kwanza mpaka la saba na za Sec maana S/M tulisoma wote Sec tukapangiwa Shule moja kibaya zaidi hata Dhehebu letu lilikuwa moja kwa...
  4. mgaya chacha

    Kama Ex Girlfriend/Boyfriend wako Anaungua, je utatumia nini kuzima Moto?

    Siwezi pasha maana wengi nipo nao mbali na mmoja nipo nae hapa mkoani ila ni mke wa kigogo fulani wa polisi Tulipokutana baada ya kupoteza kwa muda mrefu tulipashapasha kiporo baadae washikaji wakanitonya kuwa Jamaa yake kashtukia mchezo na mke kaanza jeuri home nikaacha kabisa akipiga simu...
  5. mgaya chacha

    KWA WANAUME PEKEE

    Kwa sasa nitamwambia Byeee! Ila Asije nisumbua tena maana wakienda huko yakiwashinda wanataka kurudi aende jumla
  6. mgaya chacha

    Kama Ex Girlfriend/Boyfriend wako Anaungua, je utatumia nini kuzima Moto?

    Nilikuwa na Khali Ngumu sana Enzi hizo Baada ya Mungu kuniona Mambo yakabadilika wakaanza kuniona Mitandaoni nipo tofauti Ndiyo Usumbufu ukaanza Ila kuna mmoja huyo nilipenda kweli toka tupo Shule ya msingi, Sec,hadi mtaani tulikuwa wote yeye Aliwahi kupata Ajira Serikalini Akaniacha mtaani huyo...
  7. mgaya chacha

    Kama Ex Girlfriend/Boyfriend wako Anaungua, je utatumia nini kuzima Moto?

    Hapana wengi wameolewa na wenye Pesa na wengine waume zao ni watu wa vitengo Maalum wanaweza nipoteza Japo wao Bado wanautamani Mhogo.
  8. mgaya chacha

    Kama Ex Girlfriend/Boyfriend wako Anaungua, je utatumia nini kuzima Moto?

    Kweli sijawahi mchukia Ex Wangu yeyote Ninataniana nao kama kawa na ni marafiki zangu mpka kesho na wengine wameolewa ila waume zao wanajua mimi ndugu yao tukikutana popote waniita HB ndilo jina nililowazoesha Kwa Hiyo hata nikimkuta ana tatizo nasaidia kama ndugu yangu wa karibu.
  9. mgaya chacha

    Arusha: Basi la Asante Rabi lenye namba T 264 linalomilikiwa na tajiri wa shule ya Lucky Vincent, RTO Arusha lifuatilieni miendenendo yake barabarani

    Dereva yeyote wa Bus unadumu kwenye kazi zao kutokana na kuwafikisha Abiria Mapema suala ku- Overtake ni ya Ma-Bus yote Bila zile Overtake mtafika kesho kuna madereva wengine hasa wa Private na malori hawana haraka kabisa hasa wenye vigari vya mkopo ndiyo shida kabisa Unakuta yeye anaenda 10KM...
  10. mgaya chacha

    Wanawake ambao kwa muonekano wa haraka haraka hutakiwi kuoa

    Hawa wavaa hijabu ndiyo kabisa niliishamfunua mmoja nyuma ya ukuta wao tena nilikuwa namheshimu balaaa! Kumbe nao wanatoa ilianza salam mara utani kidogo jioni nikagusia Akaniambia unataka kweli au unanitania nikamwambia nataka kweli basi usiku nitakushtua nikadhania anatania kweli usiku...
  11. mgaya chacha

    Nimepewa laki mbili nimefukuzwa nyumbani nikajitegemee kesho naondoka rasmi

    Sasa si bora Umekia chuo Mimi nilishiishia form 3 mzee alichemka kunilipi Ada pia chumba alichukuwa amenipangishia nikatimliwa nikaenda kujisitiri kwa washikaji, Nikajitoa fahamu kama vile sina wazazi japo kula tu! Ilikuwa ni shida ila nilijua kukosa elimu siyo kufail maisha nilikomaa ile mbaya...
  12. mgaya chacha

    Mhe. Kangi Lugola ( Mb.) tunaomba uwamulike matrafiki wa Usalama barabarani kituo cha Usa River, Mkoani Arusha.

    R.P.C Mpya alipokuja alituita madereva wote Wa Morogoro mjini ipofika Muda wa Kiongozi wa tipa Aliomba angalau watupangie Siku/ Tarehe maalum za kupeleka magari yetu Yakaguliwe ili tupate nafuu ya vituo Barabarani Akajibu Ukaguzi ni lazma hawezi kuuzuia tukawa wapole, Iko Hivi unatoka kubeba...
  13. mgaya chacha

    Mhe. Kangi Lugola ( Mb.) tunaomba uwamulike matrafiki wa Usalama barabarani kituo cha Usa River, Mkoani Arusha.

    Morogoro sisi wa Tipa za mchanga imekuwa mazoea kila kituo Utatoa 2000 Kama Gari yako ni Namba D au C maana baadhi ya vitu bado viko vizuri ila kuanzia B kurudi nyuma zilizo hohe hahe Andaa 5000 au 10000 kabisa ndiyo utapita kwenye vituo vyao na Asubuhi wanapangana kila kona ni lazma utoe Yaani...
  14. mgaya chacha

    KUMUOTA EX WANGU MARA KWA MARA INATOKANA NINI?

    Kuna vitu unaviona kabisa kuwa mbeleni itakuwa nishida Kwa vile ni Ninapenda basi nikubali kuja kujutia ni Bora kuvunja uchumba kuliko kuja kuvunja ndoa.
Back
Top Bottom