Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,055
- 2,911
Kwa sasaiv akisema ntampa na nauli ya kuondokea kabisaaaa.....na haichukui wiki nishakuwa na chombo kipya kwa nyumba.
Badilisha heading uandike kwa wavulana pekeeikitokea mwanaume ulikuwa na demu wako unaye mpenda kwa dhati kabisa ghafla tu anakuambia kuwa kuanzia leo mimi na wewe basi kila mtu afanye mambo yake ,hakuna tena cha mahusiano wala mapenzi je nini cha kufanya je ukiwa kama ndiye wewe umeambiwa hivyo utafanya nini hasa cha muhimu
Yakitokea hayo hiyo vita sio ya mapenzi tena Mkuu.