Recent content by Mgavi Fulani

  1. Mgavi Fulani

    Benki tatu hatarini kufungwa kutokana na mtikisiko wa uchumi

    Umeandikiwa Mwananchi mkuu au unataka sauce wewe ya kulia chips?
  2. Mgavi Fulani

    Nape Nnauye kuongea na wanahabari

    Nape my hero!!
  3. Mgavi Fulani

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Shukran mkuu, ina vitu gani vya ziada ukiacha protection ya virus...!?
  4. Mgavi Fulani

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Jaribu iQuran Lite, ipo safi sana.
  5. Mgavi Fulani

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Naomba mnisaidie ant virus ya kuaminika kwa Android devices...
  6. Mgavi Fulani

    INAUZWA POWER BANK 20000mAh ipo sokoni

    Hii mpya ina range kuanzia 45,000 - 59,000 mpaka unaiuza kwa bei hii utakuwa umeichakaza sana mkuu na imeisha nguvu, ndio maana nataka kujua inajaza simu kwa 100% walau kwa mara ngapi?
  7. Mgavi Fulani

    INAUZWA POWER BANK 20000mAh ipo sokoni

    Inacharge 100% atleast mara ngapi kabla ya kuisha yenyewe!?
  8. Mgavi Fulani

    Nauza iphones

    [emoji106] mkuu...
  9. Mgavi Fulani

    Nauza iphones

    Nimekutumia namba naona kimya mkuu.... Umeghairi nini!? [emoji3]
  10. Mgavi Fulani

    Nauza iphones

    Maelewano yapo mkuu.
  11. Mgavi Fulani

    Nauza iphones

    Zipo mkuu. 6 kwa 950k 6+ kwa 1.1 m
  12. Mgavi Fulani

    Nauza iphones

    Itakuwa imechoka.
  13. Mgavi Fulani

    Nauza iphones

    Mkuu nakusubiri hehehe :-)
  14. Mgavi Fulani

    Nauza iphones

    Daaah mkuu kweli umemtumia kwa kumuamini namna hiyo!? Pole ila hiyo kama umejitakia pia, unamuamini vipi mtu kwa kumpa mzigo bila malipo tena mkoani. Mimi nilikataa.
  15. Mgavi Fulani

    Nauza iphones

    950k mkuu...
Back
Top Bottom