Recent content by mgashi

  1. mgashi

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaandaa taifa la hovyo kuliko yote duniani

    Sina uhakika kama ww ni Mtanzania.
  2. mgashi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Barua ya wazi kwa Rais John Magufuli kuhusu utawala wa sheria

    Hivi we Mzee ni kitu gani hasa huwa unataka? Hueleweki ni Moto au ni Vuguvugu?
  3. mgashi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea nchini

    Msaliti ni wewe na watu wako mlotaka kumtoa Uhai Lissu
  4. mgashi

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ahojiwa Azam TV kuhusu kuhamia CCM

    Chadema wameshakuwa Takukuru? Au Chedema ndo mapolice siku hizi? Hao mafisadi kazi yao ni kuwajadili tu basi. Si muwakate wafunguliwe mashitaka.
  5. mgashi

    JamiiForums Tanzania Lowassa anaudhoofisha upinzani

    Na kibaya zaid havai Gwanda na kwa nn ajione bora zaidi? Hili ni pandikizi kuuwa upinzani Mbowe shituka kaka mkubwa
  6. mgashi

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi, mpinzani wako katika majadiliano na Barrick ni Komandoo wa Jeshi

    Hivi we mzee bado unasubili teuzi? Ludi kwenye akili ysko ya kawaida. Bei yako inajulikana na njaa ni mbaya sana na pole kwa njaa inayokusumbua.
  7. mgashi

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania achaneni na siasa, mnaowatetea hawabebeki mnateseka bure

    Uko sawa mkuuu nakupa like
  8. mgashi

    JamiiForums Tanzania Lissu: Serikali hii (ya Magufuli) ni ya hovyo, huyu dikteta uchwara anahitaji kupingwa na kila mwananchi

    Ww sio mzma unaangalia alichosema lisu au unaangalia point inabidi ukapimwe uelewa wako.
  9. mgashi

    JamiiForums Tanzania Ukisoma hii article utajua kwanini Leo tena wanasema Rais kadanganywa

    Kaka Pasco wakukuelewani wachache wengi wamezoea kukalilishwa tu na ushabiki.
  10. mgashi

    JamiiForums Tanzania Hasira kwa mtoto, huku baba tunamuogopa....

  11. mgashi

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Together we can, "freedom is coming tomorrow "

    We sio mzima mahali pako milembe. Mini ambacho unaona kwako sio cha kweri katika hii post?
  12. mgashi

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Together we can, "freedom is coming tomorrow "

    Umeongea maneno ya maana mola akujaalie kwa hekima zako ila kweri IPO Siku kila goti litapigwa.
  13. mgashi

    JamiiForums Tanzania Kwa Mchezo mchafu unaosukwa, UKAWA wasishangae 2020 wakabakia na wabunge watatu (3)

    Lejea na wizi wa meya kinondoni na kila aina ya uhuni wapinzani kimya
  14. mgashi

    JamiiForums Tanzania Tusikubali Wanasiasa Wapandikize Chuki Dhidi ya Polisi

    We Mzee jisitili ubakishe hata heshima kidogo hapa jukwaani. Hivi ni nani kakuroga? Au ndo njaa? Kumbuka teuzi zishakwisha ludia akili yako ya kufikili nnje ya boks hukuwa HV we Mzee.
  15. mgashi

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: January Makamba ni hazina ya CCM akitumiwa vizuri

    Jamani zito anatafuta kick ya chama chake kulamba mbunge katika nafasi kumi za magufuli. inabidi asikosekane kwenye media kutwa kujipendekeza kwa maficcm
Back
Top Bottom