Watanzania tunaandaa taifa la hovyo kuliko yote duniani

Akili yako ni hovyo kabisa mleta mada hivi unafikiri China au nchi unazotaka kutuaminisha zilipata maendeleo kwa upumbavu unaotuletea jukwaani hapa? Ni lazima tuwekewe discipline katika maisha. Siku zote uhuru bila nidhamu ni fujo. Na nidhamu bila uhuru ni utumwa. Lazima kama taifa tuwe na nidhamu na uhuru katika maeneo yote.

Magufuli chapa kazi baba achana na wezi na wahalifu hawa.
Sina uhakika kama ww ni Mtanzania.
 
Kizazi cha uoga,unafiki,ulimbukeni,unyonge,umasikini na "ndiyo mzee" .
 
Am so sorry for you my sister, Kama unadhani tukiwanyima watu uhuru wa kuongea au kukosoa ndo tutaendelea basi tutasubiri Sana?
By the way hivi umewahi kujiuliza why mwanadamu and masikio mawili na mdomo mmoja?
For your information, ukiwekeza kwenye kusikiliza utasikia hata Yale usiyoyajua na hivyo kupata nafasi ya kujifunza Ila ukiamua kuwekeza kuongea tu inabidi uwe Mungu other wise lazima udumae
Nashukuru bibi kwa kujitahidi kunielewesha.
 
Misukule inayowaza ngono, nguvu za kiume, kubana K na Kukariri.
 
Akili yako ni hovyo kabisa mleta mada hivi unafikiri China au nchi unazotaka kutuaminisha zilipata maendeleo kwa upumbavu unaotuletea jukwaani hapa? Ni lazima tuwekewe discipline katika maisha. Siku zote uhuru bila nidhamu ni fujo. Na nidhamu bila uhuru ni utumwa. Lazima kama taifa tuwe na nidhamu na uhuru katika maeneo yote.

Magufuli chapa kazi baba achana na wezi na wahalifu hawa.
Mleta uzi upo sawa, mfano mmoja wapo wa hayo unayo yasema huu hapa! Wazee wa ndio kila kitu
 
Kila nikitafakari tanzania ya kuanzia miaka 10 ijayo na kuendelea kwa akili za sisi wazazi wa leo sipati picha kamili watakua watoto wa aina gani na wao watazaa watoto wa aina gani. ila nabaki na jibu moja tuu kitakua kizazi cha hovyo sana.

  1. Yaani watakua kama misukule. watakua kama maroboti wanaoongozwa na nchi zingine au na watu wachache watakaobahatika kuishi nje ya nchi zaidi ya hapa Tanzania lakn wakawa ni watanzania. maana watakuwa na akili kubwa kuwazidi hawa watanzania ambao ni kama kuku wa kisasa wamefungiwa akili zao wasiingize chochote zaidi ya kile watawala wanachotaka. cha ajabu na sisi wazazi tumekubali haya yaendelee.
Natamani tufute vyama vyote labda akili ndio itaturudia na kujiona sisi wote hii ni tanzania yetu. ila kwa sasa naona tumepotea na sijui lini tutarud kwenye msitari. maana tumeigawa Tanzania katika makundi kuna watu ambao kila kitu wanapinga na kuna watu kila kitu wanaunga mkono. haya ni makosa makubwa sana. watanzania hebu tuamke kuijenga nchi yetu kwa vizazi vijavyo.

Hebu tutafakari jambo moja tuu ambalo serikali imetuletea na kuna watu wanaunga mkono bila kujua athari zake kwao na kwa kizazi kijacho.

TAKWIMU.

Serikali imeleta sheria kali ya takwimu eti watu wasitoe takwimu yeyote mpaka kwa kibali chao. yaani ikosee halafu ikupe kibali cha kwenda kuikosoa kwa kuweka takwimu zingine kwa hisani yake . na bado kuna watu wanasema ndiyoooooooooo!!!! pumbavu kabisa.

Yaani mfano tuna shule laki moja wanatwambia tumegawa vitabu milioni 2 katika shule zote lak moja. sasa mimi ni mwananchi au mwalimu ninajua kabisa katika shule ya ujiji vitabu hivyo havipo. nampigia simu mshikaji wangu yupo mbeya huko kuuliza kuhusu vitabu hivyo anasema vipo viwili tuu. Tunafanya uchunguzi wetu na kubain wilayani kwetu penye shule mfano kumi kulitakiwa kuwe na vitabu 200 ila kuna vitabu 20 tuu ambavyo vilistahili kuwa katika shule moja kwa mujibu wa takwimu ya serikali kwamba imegawa vitabu mililion 2 katika shule laki moja.

Sasa tukiwaambia serikali waongo vitabu havipo mashuleni eti ni kosa natakiwa nifungwe miaka mitatu au nilipe faini milion 10. Badala ya serikali kuja na majibu sahihi ili kuniweka sawa wao wananiandalia jera. halafu kuna watu wanasema serikali iko sawa kuleta hiyo sheria. nawaambia nyie wafia chama maana sio wafia Tanzania mnaandaa kizazi cha hovyo sana huko mbeleni. yaan tutakua na kizazi cha ndio kila kitu. tutakua taifa la mazombi taifa la misukule taifa lenye watu kama maroboti naam taifa la kuku wa kisasa.

Dunia iko hivi ilivyo kwa vile kulikua na mawazo mbadala. nyie mnaounga kila kitu tulipowaambia kukosoa ni afya katika nchi mkasema no kukosoa mwache rais wetu afanye kazi. haya na sasa ameleta sheria akisema tumepata trilioni 30 sema sawa akisema tumetumia trilioni 32 usimuulize mbona hesabu inatofautiana wewe sema sawa tu. akisema tumetumia trillion 28.5 usimuulize 1.5 iko wap. akisema nimepeleka Zanzibar ww sema sawa tuu!! yaan misukule nyie!! napata hasira sana nikitafakari haya.

Watoto wetu watazaliwa na kutukuta sisi tukisema ndio kila kitu watajua ndio utaratibu na wao wataiga mwishoe tutakua na kizazi cha hovyo huenda kuliko taifa lolote duniani.

Hatujachelewa tuamke tuwaambie hawa wanasiasa hata sisi akili tunazo . Mungu aliye wapa wao akili hata sisi katupa . wasifikiri kwa niaba yetu hata sisi tunaweza kufikiri. Wafanye tulio watuma wakafanye sio waliojiamulia. kukabidhi akili yako iendeshwe na mtu mwingine huo ni utumwa mbaya kuliko wa kikoloni.
Mkuu nchi iliingia chooni baada ya Magufuli kuwa Rais,huyu jamaa atakachokiacha hapa Tanzania nakuambia itabaki simulizi ya machozi kwa vizazi na vizazi...
Ni hatari sana mkuu,Taifa halina mwelekeo wowote ni mtu mmoja tu akiamka asubuhi anachowaza ndo hicho hicho akihojiwa anakupoteza,kwa mantiki hiyo mwisho wa Tanzania ni mbaya tu.
Anatumia pesa hovyo tu kununua wapinzani na kuitisha chaguzi feki,unaweza kusema huyu mtu ana nia njema na hili taifa?muda utaongea.
 
Akili yako ni hovyo kabisa mleta mada hivi unafikiri China au nchi unazotaka kutuaminisha zilipata maendeleo kwa upumbavu unaotuletea jukwaani hapa? Ni lazima tuwekewe discipline katika maisha. Siku zote uhuru bila nidhamu ni fujo. Na nidhamu bila uhuru ni utumwa. Lazima kama taifa tuwe na nidhamu na uhuru katika maeneo yote.

Magufuli chapa kazi baba achana na wezi na wahalifu hawa.
Hujitambui wewe mjinga,unaropoka tu.
 
Lkn IQ ya Tanzania imeongezeka kulinganisha na kizazi kilichopita, leo hii mtoto wa TZ wa miaka 5 ana IQ kubwa kuliko aliyekuwa miaka ya 60‘, leo hii Nyerere angekuwepo angepata shida sana kuongoza, siyo kama zamani.

Hivyo TZ ijayo ni bora kuliko iliyopo!
​
IQ ya watanzania ingekuwa kubwa CCM isingetawala hata masaa mawili tu.
 
Kila nikitafakari tanzania ya kuanzia miaka 10 ijayo na kuendelea kwa akili za sisi wazazi wa leo sipati picha kamili watakua watoto wa aina gani na wao watazaa watoto wa aina gani. ila nabaki na jibu moja tuu kitakua kizazi cha hovyo sana.

  1. Yaani watakua kama misukule. watakua kama maroboti wanaoongozwa na nchi zingine au na watu wachache watakaobahatika kuishi nje ya nchi zaidi ya hapa Tanzania lakn wakawa ni watanzania. maana watakuwa na akili kubwa kuwazidi hawa watanzania ambao ni kama kuku wa kisasa wamefungiwa akili zao wasiingize chochote zaidi ya kile watawala wanachotaka. cha ajabu na sisi wazazi tumekubali haya yaendelee.
Natamani tufute vyama vyote labda akili ndio itaturudia na kujiona sisi wote hii ni tanzania yetu. ila kwa sasa naona tumepotea na sijui lini tutarud kwenye msitari. maana tumeigawa Tanzania katika makundi kuna watu ambao kila kitu wanapinga na kuna watu kila kitu wanaunga mkono. haya ni makosa makubwa sana. watanzania hebu tuamke kuijenga nchi yetu kwa vizazi vijavyo.

Hebu tutafakari jambo moja tuu ambalo serikali imetuletea na kuna watu wanaunga mkono bila kujua athari zake kwao na kwa kizazi kijacho.

TAKWIMU.

Serikali imeleta sheria kali ya takwimu eti watu wasitoe takwimu yeyote mpaka kwa kibali chao. yaani ikosee halafu ikupe kibali cha kwenda kuikosoa kwa kuweka takwimu zingine kwa hisani yake . na bado kuna watu wanasema ndiyoooooooooo!!!! pumbavu kabisa.

Yaani mfano tuna shule laki moja wanatwambia tumegawa vitabu milioni 2 katika shule zote lak moja. sasa mimi ni mwananchi au mwalimu ninajua kabisa katika shule ya ujiji vitabu hivyo havipo. nampigia simu mshikaji wangu yupo mbeya huko kuuliza kuhusu vitabu hivyo anasema vipo viwili tuu. Tunafanya uchunguzi wetu na kubain wilayani kwetu penye shule mfano kumi kulitakiwa kuwe na vitabu 200 ila kuna vitabu 20 tuu ambavyo vilistahili kuwa katika shule moja kwa mujibu wa takwimu ya serikali kwamba imegawa vitabu mililion 2 katika shule laki moja.

Sasa tukiwaambia serikali waongo vitabu havipo mashuleni eti ni kosa natakiwa nifungwe miaka mitatu au nilipe faini milion 10. Badala ya serikali kuja na majibu sahihi ili kuniweka sawa wao wananiandalia jera. halafu kuna watu wanasema serikali iko sawa kuleta hiyo sheria. nawaambia nyie wafia chama maana sio wafia Tanzania mnaandaa kizazi cha hovyo sana huko mbeleni. yaan tutakua na kizazi cha ndio kila kitu. tutakua taifa la mazombi taifa la misukule taifa lenye watu kama maroboti naam taifa la kuku wa kisasa.

Dunia iko hivi ilivyo kwa vile kulikua na mawazo mbadala. nyie mnaounga kila kitu tulipowaambia kukosoa ni afya katika nchi mkasema no kukosoa mwache rais wetu afanye kazi. haya na sasa ameleta sheria akisema tumepata trilioni 30 sema sawa akisema tumetumia trilioni 32 usimuulize mbona hesabu inatofautiana wewe sema sawa tu. akisema tumetumia trillion 28.5 usimuulize 1.5 iko wap. akisema nimepeleka Zanzibar ww sema sawa tuu!! yaan misukule nyie!! napata hasira sana nikitafakari haya.

Watoto wetu watazaliwa na kutukuta sisi tukisema ndio kila kitu watajua ndio utaratibu na wao wataiga mwishoe tutakua na kizazi cha hovyo huenda kuliko taifa lolote duniani.

Hatujachelewa tuamke tuwaambie hawa wanasiasa hata sisi akili tunazo . Mungu aliye wapa wao akili hata sisi katupa . wasifikiri kwa niaba yetu hata sisi tunaweza kufikiri. Wafanye tulio watuma wakafanye sio waliojiamulia. kukabidhi akili yako iendeshwe na mtu mwingine huo ni utumwa mbaya kuliko wa kikoloni.
"Tumeigawa Tanzania katika makundi kuna watu ambao kila kitu wanapinga na kuna watu kila kitu wanaunga mkono"....Duh hii point nimeipenda sana,yani sijui sasa hivi tupoje mana sisi nikukubali tu kila wanacho tupangia wanasiasa,tunafata tu kama marobot
 
Akili yako ni hovyo kabisa mleta mada hivi unafikiri China au nchi unazotaka kutuaminisha zilipata maendeleo kwa upumbavu unaotuletea jukwaani hapa? Ni lazima tuwekewe discipline katika maisha. Siku zote uhuru bila nidhamu ni fujo. Na nidhamu bila uhuru ni utumwa. Lazima kama taifa tuwe na nidhamu na uhuru katika maeneo yote.

Magufuli chapa kazi baba achana na wezi na wahalifu hawa.
mmh una mawazo mazuri ndugu
 
leo hii Nyerere angekuwepo angepata shida sana kuongoza, siyo kama zamani
Unataka kusema hawa viongozi wetu wa leo ni bora kuliko Nyerere? Nyerere hakuwa bora kwa kuwa wengine walikuwa dhaifu bali alikuwa bora kwa kuwa ni bora!!
 
Kama alikuwa ni bora kuliko wote kwa nini wakati anaacha uraisi TZ yetu ilikuwa ni nchi ya tatu kwa umaskini Duniani, leo hii hata nafasi ya 20 kwa umaskini hatumo?
 
IQ ya watanzania ingekuwa kubwa CCM isingetawala hata masaa mawili tu.

Inategemea kwako IQ kubwa maana yake nini, nimesema ni kubwa kulinganisha na zamani, sasa kama unashindwa kuelewa hapo siwezi kukusaidia!
 
ukubwa huo unaupimaje??
kupima upeo wa mtu ni pamoja ni kuamua jambo. sasa kama unaowaona wana IQ kubwa ndio hawa wanasema ndio kila kitu tutakua hatutendei haki maana ya IQ kubwa
 
Nimelinganisha vitu viwili, yaani IQ ya kizazi kilichopita vs IQ ya kizazi cha sasa, na jibu ni kwamba kizazi cha sasa kina IQ kubwa kuliko kizazi kilichopita!
 
Back
Top Bottom