Hili suala linahitaji umakini sana. Kwanza nini lengo la hao wanaotaka kubadillisha Sheria hiyo ya ndoa ya Mwaka 1971. Kwa sasababu hizi taasisi za kijamii siku hizi zina malengo mengi sana, likiwemo la kueneza ushoga nchini mwetu. Sasa isije wakaja tena na sheria ya kutaka wanaume waowane wao...
Hili suala linahitaji umakini sana. Kwanza nini lengo la hao wanaotaka kubadillisha Sheria hiyo ya ndoa ya Mwaka 1971. Kwa sasababu hizi taasisi za kijamii siku hizi zina malengo mengi sana, likiwemo la kueneza ushoga nchini mwetu. Sasa isije wakaja tena na sheria ya kutaka wanaume waowane...
Mkuu Hii ndio maana yangu hasa lakini Hawa vijana wenye Dhamana wanajidai hawaelewi hapo, Nadhani kwa vile tupo kwenye uchaguzi tunafikishia taarifa Mh. Tundu Lissu na Mh. Benard Membe atutetee.
Mkuu GIRITA nakushukuru sana kwa kunielewa. Tatizo sio kukagua, bali KERO haKa ni kushusha habiria kila siku iendayo kwa Mungu. Kwanini wasikagulie ndani ya Gari? Hicho ndio kinachotukera kutushusha wakati watu tuna stress zetu kibao halafu na wao wanatuongezea stress.
Hiyo ndio hali alisi kabisa kila ninapo angalia TVs na Ninapo soma Magazeti. Kwa kweli hii hali inasikitisha kwa Tasnia ya Habari nchini karne hii ya 21. NI AIBU!
Apite kwenda wapi? Hapo alipofika panatosha. Sio watumishi wa Umma peke yao. Kila mtu analia kivyake. UCHAGUZI HURU NA HAKI UNGETUWEKA HURU. Ila kila lenye Mwanzo linamwisho wake. Nakumbuka zama za Ukoloni ziliondolewa kwa Kuamua kuweka woga Pembeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.