Recent content by mganda og

  1. mganda og

    FT Mbeya City 0-0 Yanga |NBC Premier League| Sokoine Stadium Mbeya| September 30, 2025| Saa 16:15 Jioni

    Yanga hii haina Tofauti na Ile Yanga ya Papaa Mwinyi Zahera, Yani hili ni pira mataputapu🚮
  2. mganda og

    Full Time | Simba SC 1 - 0 Gor Mahia FC | Simba Day - Septemba 10, 2025; Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

    Huyu kocha huwa anafanya nn mazoezini na hawa wachezaji? Chemistry ya timu itachukua miaka mingap?
  3. mganda og

    Full Time | Simba SC 1 - 0 Gor Mahia FC | Simba Day - Septemba 10, 2025; Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam

    Hapa hamna timu, Huyu kocha tuachane nae mapema kabla ligi haijaanza maana Naona ni aibu kubwa tunaenda kupata🚮
  4. mganda og

    FT: TZ Prisons FC 0-5 Yanga SC || NBC PL || Sokoine Mbeya

    5G huko tayari🤣🤣🤣🤣
  5. mganda og

    FT: TZ Prisons FC 0-5 Yanga SC || NBC PL || Sokoine Mbeya

    Yanga wanatandaza soka maridadi Sana.. Nina mashaka kama wale mbumbumbu watatokea uwanjani iyo tareh 25
  6. mganda og

    Nadhani kiongozi wa serikali aliyepiga simu kuzuia geti ni Mwana FA

    Hili jukwaa la sports unafanya nini?
  7. mganda og

    Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

    Utopolo ni next level, performance ya kiwango cha Uefa Champions league
  8. mganda og

    Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

    Kwa dadika hizi Utopolo wanapiga mpira mwingi Sana na wa Kasi utadhani Arsenal
  9. mganda og

    TANZIA Mfanyakazi wa Azam Tv, Rahabu Fungo amefariki Dunia

    Kifo hakina huruma. Ni miaka michache tu imepita toka tumemzika aliyekuwa mumewe Fred Fidelis(Fredwaa) aliyekuwa mtangazi wa Clauds FM.. RIP mate😭
  10. mganda og

    Hili la kuchanja mifugo yote nchi nzima ni la kupingwa kwa nguvu!!

    Mama anaupiga mwingi paka umetoka nje ya uwanja😂😂😂 Mitano tena Kwa mama🙌
  11. mganda og

    Ijue tofauti ya Member na Senior Member ndani ya JF

    Huo u Senior member walikupaje? Umeshindwa kabisaa kutumia ufahamu wako hata kidogo?
Back
Top Bottom