Acha kunidhalilisha na vitu vya kuokoteza mzee, jitahidi kujielimisha. Inaonekana wewe ni mgeni wa Kanda ya Ziwa. Unaongelea kansa sijui albino nani amekwambia ni kubwa kiasi hicho? Fuatilia data za Wagonjwa wa Kansa, tofauti ni ndogo tu dhidi ya Mikoa mingine hata kama Kanda ya Ziwa ndio...
Nani anakudanganya kuwa kuna umasikini uliotopea? Mnapumbazwa na hizo data zinazotolewa kila siku? Mbona hamuambiwi ni watu gani wanatumia msauzi, nondo na saruji kwa wingi hapa nchini? Nathan utakuwa hujafika Kanda ya Ziwa we were. Umasikini upo mkubwa lakini matajiri na wenye maisha mazuri...
Ni kweli, kuna uwezekano mkubwa hapo baadaye Katoro (+ Bwanga) ndiyo ukawa Mji mkubwa wa kushindana na Kahama badala ya Geita kwani ni Mji ulioko kwenye junction ya Barabara Kuu za kwenda Bukoba (+ Uganda), Mwanza (+Kenya) na Dar es Salaam (+Rwanda & Burundi).
In fact, siku mgodi wa GGM...
True, ukichukua Kata zote zinazounda Centre ya Katoro, unakuta kuwa Mji huo una wakazi 300,000 na unashika namba 13 nchini kwa Miji mikubwa tena bila kujumlisha Centre ya Bwanga ambayo endapo Katoro ikipewa hadhi ya Mji inaweza kuimeza Bwanga kama ambavyo Geita imemeza Kasamwa.
Endapo Bwanga...
Ni kweli bado pa kichovu but ni Mji ambao una future kubwa sana baadaye. Ni Mji umezungukwa na una owe za kuhudumia centre kubwa zinazouzunguka Mji huo ambazo ni Katoro, Sengerema, Nyehunge, Nyarugusu, Bwanga na Lyamgasa.
True, kimiundombinu miji hiyo kama ilivyo miji mingine ya Kanda ya Ziwa bado ni duni sana licha ya ukubwa wake.
Kuna siku wataibuka Viongozi watakaotambua changamoto hizo na kuzifanyia kazi kwa ukubwa wake.
Manispaa ya Kahama
Kanda ya Ziwa inajivunia kuwa na Jiji la Mwanza (City Council) tangu 2002 ambalo ni Jiji la pili kutangazwa baada ya Dsm. Katika miaka hiyo ya 2000s, Miji ya Musoma, Bukoba na Shinyanga ilipandishwa hadhi na kuwa Manispaa (Municipal Cluncil). Ilichukua tena miaka ipatayo 20...
That's the point. Mi ni mnazi mkubwa wa Google Earth tangu 2018. Nimekuwa nikifuatilia mabadiliko wanayoweka kila mwaka. In fact huwa wana-tend kufanya mabadiliko mwezi Aprili ya kila mwaka.
Kama ulivyosema wameweka nguvu zaidi katika maeneo yenye makazi. Na kadri Nchi au eneo lililoendelea...
Nilidhani una uelewa wa kutosha kumbe kichwani mwako ni kopo tu. Wewe unadhani kati ya Mwafrika na Muarabu nani mbaguzi?
Halafu wanakwambia kwenye WC walitubagua sisi Waafrika still unataka ushahidi ina maana wewe ulikuwa huangalii hizo mechi mpaka Waafrika wakaanza kuiombea Morocco inyukwe...
Sijui nilitaka kusemaje. Inaonekana wewe hujui maana ya uchumi mzee. Hayo unaodai wafanyabiashara siyo wa huko kwani wanaishi na watu ama wako hewani au wanaishi huko unakopasema? Soma ujielimishe maana ya uchumi kwanza maana neno hilo ni gumu kwako, kwamba mfanyabiashara atoke huko aje Kanda ya...
Hivyo vitabu vya Dini ndivyo vinavyowadanganya. Time will tell. Kumbuka zamani Vitabu vya Dini viliamini kuwa Jua linaizunguka Dunia kwamba sisi Wanadamu ni wa kipekee sana Ulimwenguni ndiyo maana Mungu katuwekea Nyota, Mbalamwezi na Jua kutumulika.
Baada ya kuanza kugundilika sayari nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.